12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

fundi wa kufanya hema, kila mmoja wao alijifunza kazi fulani ambayo kwayo, kama ni

lazima, kingemusaidia kwa kujitegemea mwenyewe.

Vijana walipata mafundisho yao kwa wachungaji wao. Biblia ilifanywa kuwa masomo ya

mhimu. Injili za Matayo na Yoane ziliwekwa katika ukumbusho, pamoja na barua nyingine.

Mara zingine katika mapango ya giza udongoni, kwa nuru ya mienge (torches), Maandiko

matakatifu yaliandikwa, mstari kwa mstari. Malaika kutoka mbinguni wakazunguuka

watumishi hawa waaminifu.

Shetani alilazimisha mapadri wa Papa na maaskofu kuzika Neno la Ukweli chini ya

machafu ya makosa na ibada ya uchawi. Lakini kwa namna ya ajabu likalindwa bila

kuchafuliwa wakati wa miaka yote ya giza. Kama safina juu ya mawimbi mazito, Neno la

Mungu linashinda zoruba zinazolitisha kuliharibu. Kama vile dini yamefikia bamba la jiwe

lenye zahabu na feza iliyofichwa chini upande wa juu, ni vivyo hivyo Maandiko matakatifu

yanakuwa na hazina ya ukweli iliyofunuliwa tu kwa wanyenyekevu, wanaopenda kuomba

Mungu alichagua Biblia kuwa kitabu cha mafundisho ya wanadamu wote kuwa ufunuo wake

mwenyewe. Kila ukweli uliotambuliwa ni uvumbuzi mupya wa tabia ya Mwandishi wake.

Kutoka kwa vyuo vyao katika milima vijana wengine walitumwa kujifunza katika

Ufaransa ao Italia, ambapo palikuwa na nafasi kubwa zaidi kwa mafundisho na uchunguzi

kuliko katika inchi yao ya milima mirefu. Vijana waliotumwa walijihatarisha kwa majaribu.

Walipambana na wajumbe wa Shetani waliowalazimisha mambo ya kipinga ukweli wa dini

na madanganyo ya hatari. Lakini elimu yao tokea utoto ikawatayarisha kwa jambo hili.

Katika vyuo po pote walipokwenda hawakuweka tumaini lao kwa kitu cho chote. Mavazi

yao yalitayarishwa kama kuficha hazina zao kubwa-Maandiko. Mara kwa mara walivyoweza

waliweka kwa uangalifu sehemu za maandiko njiani mwa wale ambao mioyo yao ilionekana

kufunguliwa kwa kupokea ukweli. Waiiotubu na kukubali imani ya kweli walipatikana katika

vyuo hii vya elimu, mara kwa mara mafundisho ya imani ya kweli ikaenea kwa chuo chote

kizima. Huku waongozi wa Papa hawakuweza kupata mwanzo wa kile walichoitwa

“Upinzani wa mafundisho ya dini”.

Vijana Walifundishwa Kuwa Wajumbe (wa injili)

Wakristo Wavaudois walijisikia kuwa na madaraka makuu ya kutoa nuru yao iangaze.

Kwa uwezo wa Neno la Mungu walitafuta kuvunja utumwa ambao Roma ililazimisha.

Wahudumu wa Wavaudois walipaswa kutumika kwa miaka tatu katika shamba la misioni

kabla ya kuongoza kanisa nyumbani--chanzo cha kufaa kwa maisha ya mchungaji katika

nyakati ambazo roho za watu zinajaribiwa. Vijana waliona mbele yao, si utajiri wa kidunia

na sifa, bali taabu na hatari na labda mateso ya wafia dini. Wajumbe walitembea wawili

wawili, kama vile Yesu alivyowatuma wanafunzi wake.

Kama wangejulisha ujumbe wao wangeuletea kushindwa. Kila mhuburi alikuwa na ujuzi

wa kazi fulani ao ufundi, na wajumbe waliendesha kazi yao chini ya kifuniko cha mwito wa

25

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!