12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

“Niliona kwamba Biblia ilionyesha tu Mwokozi wa namna ninayehitaji: na nilifazaika

kuona namna gani kitabu kisichoongozwa na Mungu kilipashwa kukuza kanuni zilizolingana

kabisa kabisa kwa matakwa ya ulimwengu ulioanguka. Nikalazimishwa kukubali kwamba

Maandiko yanapashwa kuwa ufunuo kutoka kwa Mungu. Yakawa mapenzi yangu; na katika

Yesu napata rafiki. Mwokozi akawa kwangu mkuu kuliko miongoni mwa wakuu elfu kumi;

na Maandiko, ambayo mbele yalikuwa giza na kinyume, sasa yakawa taa kwa miguu yangu...

Niliona Bwana Mungu kuwa Mwamba katikati ya bahari ya maisha. Biblia sasa inakuwa

fundisho langu kuu, na ninaweza kusema kweli, niliitafuta kwa furaha kubwa... Nilishangaa

sababu gani sikuona uzuri wake na utukufu mbele, na nikashangaa namna gani ningaliweza

kuikataa... Nikapoteza onyo yote ya kusoma vitabu vingine, nikatumia moyo wangu kwa

kupata hekima kutoka kwa Mungu.”

Miller akaungama wazi wazi imani yake. Lakini rafiki zake wasiokuwa waaminifu

wakaendeleya mbele na mabishano, hayo yote ambayo yalishurutisha mwenyewe kupinga

Maandiko. Akafikiri kwamba kama Biblia ni ufunuo wa Mungu, Kitabu hicho kinapaswa

kujieleza chenyewe. Akakusudia kujifunza Maandiko na kupata kama kila mabishano ya wazi

yapate kupatanishwa.

Akaacha maelezo yo yote, akalinganisha maandiko kwa maandiko kwa usaada wa

kumbukumbu ya upande na upatanifu (concordance). Kuanzia kwa Mwanzo, kusoma shauri

kwa shauri, alipoona kitu cho chote cha giza ilikuwa desturi yake kukilinganisha pamoja na

maneno yote yanayoweza kuwa na uhusiano na fundisho lenyewe. Kila neno likaruhusiwa

kuwa na tegemeo lake juu ya maneno yenyewe. Kwa hiyo wakati wo wote alipokutana

maneno magumu kwa kufahamu alipata maelezo katika sehemu ingine ya Maandiko.

Akajifunza kwa maombi ya juhudi kwa ajili ya nuru ya kiMungu maneno ya mwandishi wa

zaburi: “kufunua kwa maneno yako kunaleta nuru; Kunamupa mujinga ufahamu.” Zaburi

119:130.

Kwa usikizi mwingi akajifunza kitabu cha Danieli na Ufunuo na akaona ya kwamba

mifano ya unabii inaweza kufahamika. Aliona ya kwamba mifano yote mbalimbali, mezali,

vifani, kama hayakuelezwa kwa maneno yaliyotangulia haya, hupata penginepo maelezo yake

kwa muunganiko wake mwenyewe ao kuelezwa kwa maandiko mengine na kufahamika kwa

kweli. Kiungo kwa kiungo cha mnyororo wa kweli na kuwa ni shani ya bidii yake. Hatua kwa

hatua akafuatisha mistari ya unabii. Malaika wa mbinguni walikuwa wakiongoza akili yake.

Akatoshelewa kwamba maoni ya watu wengi ya miaka elfu (millennium) mbele ya

mwisho wa dunia hayakukubaliwa na Neno la Mungu. Mafundisho haya,ya kuonyesha miaka

elfu ya amani mbele ya kuja kwa Bwana, ni kinyume cha mafundisho ya Kristo na mitume

wake, waliotangaza kwamba ngano na magugu yanapashwa kukuwa pamoja hata wakati wa

mavuno, mwisho wa dunia, na kwamba “watu wabaya na wadanganyifu wataendelea na

kuzidi kuwa waovu.” 2 Timoteo 3:13.

Kuja kwa Kristo mwenyewe

127

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!