12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Wakahubiri habari iliyotolewa kwao, ingawa walikosa kufahamu maana yake. Wakati

matangazo yao msingi wake ulikuwa katika Danieli 9:25, hawakuona katika shairi lililofuata

kwamba Masiya alipashwa “kukatiliwa mbali.” Mioyo yao ilikuwa juu ya utukufu wa utawala

wa kidunia; jambo hili likapofusha akili yao.

Kwa wakati kabisa walipotumainia kuona Bwana wao kupanda kwa kiti enzi cha Dawidi,

walimwona akikatwa, kupigwa, kuzihakiwa, na kuhukumiwa juu ya msalaba. Kukata tamaa

kwa namna gani na uchungu yaliumiza mioyo ya wale wanafunzi!

Kristo alikuja kwa wakati halisi uliotabiriwa. Maandiko yalitimia katika habari yote. Neno

na Roho wa Mungu ilishuhudia agizo la Mwana wake. Lakini mafikara ya wanafunzi

yalifunikwa na mashaka. Kama Yesu alikuwa Masiya wa kweli wangetumbukia katika

sikitiko na uchungu? Hili ndilo swali lililotesa roho zao wakati wa saa za kukata tamaa za

Sabato ile iliyokuwa katikati ya kifo chake nakufufuka kwake.

Lakini hawakuachwa. “Nikikaa katika giza, Bwana atakuwa nuru kwangu... Atanileta inje

kwa nuru na nitatazama haki yake.” “Kwa wenye haki nuru inangaa gizani.” “Nitafanya giza

kuwa nuru mbele yao; na pahali pa kupotoka patanyoshwa. Maneno haya nitawafanyia, wala

sitawaacha.” Mika 7:8, 9; Zaburi 112:4; Isaya 42:16.

Matangazo yaliyofanywa na wanafunzi yalikuwa halisi “Wakati umetimia, ufalme wa

Mungu ni karibu.” “Kwa mwisho wa wakati” majuma makumi sita na tisa ya Danieli 9

ambayo yalipashwa kufikia kwa Masiya, “Mupakaliwa”--Kristo alipokea mafuta ya Roho

baada ya ubatizo wake kwa Yoane. “Ufalme wa Mungu” haikuwa, kama walivyofundishwa

kuamini, ufalme wa kidunia. Wala ule ujao, ufalme wa milele ambao “na wote wenye

mamlaka watamutumikia na kumutii.” Danieli 7:27.

Neno hili “Ufalme wa Mungu” linatumiwa kutaja mambo yote mawili ufalme wa neema

na ufalme wa utukufu Mtume anasema: “Basi, tukaribie kiti cha neema pasipo woga,” ili

tupate huruma na kuona neema. Waebrania 4:16. Kuwako kwa kiti cha ufalme kunaonyesha

kuwako kwa ufalme. Kristo anatumia neno la “Ufalme wa mbinguni” kutaja kazi ya neema

juu ya mioyo ya watu. Kwa hiyo kiti cha utukufu kinaonyesha ufalme wa utukufu. Matayo

25:31, 32. Ufalme huu ukingali wa wakati ujao. Hautasimamishwa hata wakati wa kuja kwa

Kristo mara ya pili.

Wakati Mwokozi alipotoa maisha yake na akalia kwa sauti kubwa, “imekwisha,” ahadi ya

wokovu iliyo fanywa kwa mme na mke wenye zambi katika Edeni ikatimilika. Ufalme wa

neema, ambao ulikuwako mbele kwa ahadi ya Mungu, ukaimarishwa.

Kwa hiyo kifo cha Kristo jambo ambalo wanafunzi walitazamia kama maangamizi ya

tumaini lao ilikuwa ni milele kwa kweli. Wakati ilileta uchungu mkali, ilikuwa ushahidi

kwamba imani yao ilikuwa halisi. Jambo lililowatumbukiza katika kukata tamaa likafungua

mlango wa tumaini kwa waaminifu wote wa Mungu katika vizazi vyote.

140

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!