12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Tangu siku ile hata sasa Sabato imeshikwa. Ingawa “mtu wa zambi” alifaulu katika

kugandamiza chini ya mguu siku takatifu ya Mungu, lakini ilifichwa katika mahali pa siri

roho aminifu zikaitolea heshima. Tangu wakati wa Matengenezo (Reformation), wengine

katika kila kizazi wameimarisha kushikwa kwake.

Mambo haya ya kweli katika kuhusiana pamoja na “habari njema ya milele” yatatofautisha

kanisa la Kristo kwa wakati wa kutokea kwake. “Hapa ni uvumilivu wa watakatifu

wanaoshika amri za Mungu, na imani ya Yesu.” Ufunuo 14:12.

Wale waliokubali nuru juu ya Pahali patakatifu na sheria ya Mungu walijazwa na furaha

kwa namna walioona umoja wa kweli. Walitamani nuru ya kugawanywa kwa Wakristo wote.

Lakini kweli tafauti pamoja na ulimwengu haikukaribishwa kwa wengi waliojidai kufuata

Kristo.

Kwa namna haki ya Sabato ilivyoonyeshwa, wengi wakasema: “Tulikuwa tukishika

Jumapili (siku ya kwanza) sikuzote, wazazi wetu waliishika. Kushika kwa Sabato mpya

kungetutupa inje ya umoja pamoja na ulimwengu. Kundi ndogo linaloshika siku ya saba

linaweza kufanya nini juu ya ulimwengu wote unaoshika Jumapili (siku ya kwanza ya juma)?”

Kwa mabishano ya namna moja Wayuda wakatoa sababu zao za kukana Kristo. Vivyo hivyo

wakati wa Luther, Wakristo wa dini ya Roma wakafikiri kwamba Wakristo wa kweli walikufa

katika imani ya Kikatoliki; kwa sababu hiyo dini ile ilikuwa ya kutosha. Wazo la namna ile

lingehakikisha kizuizi zaidi kwa maendeleo yote katika imani.

Wengi walishurutisha kwamba kushika kwa Jumapili (siku ya kwanza ya juma) ilikuwa

desturi ya kanisa iliyoenea sana ya kanisa kwa karne nyingi. Kinyume cha mabishano haya

ilionyeshwa kwamba Sabato na kushikwa kwake kulikuwa kwa zamani zaidi kuliko, hata kwa

zamani za ulimwengu wenyewe--uliyoimarishwa na Mzee wa Siku.

Kwa ukosefu wa ushuhuda wa Biblia, wengi wakashurutisha: “Sababu gani watu wetu

wakubwa hawafahamu swali hili la Sabato? Wachache wanaamini kama unavyo amini.

Haiwezekani kuwa kwamba unakuwa na hakika na watu wote waliojifunza kuwa wakosefu.”

Kwa kupinga mabishano ya namna hii ilikuwa tu lazima ya kuita Maandiko na matendo

ya Bwana pamoja na watu wake katika vizazi vyote. Sababu mara kwa mara Mungu hakuwa

akichagua watu waliojifunza na cheo kwa kuongoza katika matengenezo ni kwamba

wanatumainia kanuni za imani ya kanisa na desturi za elimu ya tabia na sifa za Mungu na dini

na kutoona haja kamwe ya kufundishwa na Mungu. Watu wanaokuwa na majifunzo ya chini

wanaitwa nyakati zingine kutangaza kweli, si kwa sababu wanakuwa wasiojifunza, lakini kwa

sababu si watu wenye majivuno ya kukataa kufundishwa na Mungu. Unyenyekevu wao na

utii vinawafanya kuwa wakubwa.

Historia ya Israeli wa zamani ni onyesho la kushangaza ya mambo ya maisha ya wakati

uliopita ya jamii ya Waadventisti. Mungu aliongoza watu wake katika mwendo wakurudi kwa

Yesu,ijapo kama vile alivyoongoza wana wa Israeli kutoka Misri. Kama wote waliotumika

187

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!