12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Calvin hakuweza kubakia wakati mrefu bila kazi. Mara msukosuko ulipotulia akaenda

kutafuta shamba mpya ya kazi huko Poities, mahali makusudi mapya yalikuwa ya kufaa

kukubaliwa. Watu wa namna zote walisikiliza kwa furaha habari njema. Kwa namna hesabu

ya wasikilizaji ilivyokuwa ikiongezeka, wakafikiri kwamba ni vyema kukusanyikia inje ya

mji. Kwa pango mahali miti na miamba ya juu ya uficho pakachaguliwa kuwa mahali pa

mkutano. Katika mahali hapa pa uficho Biblia ikasomwa na kufasiriwa. Hapo ibada ya meza

ya Bwana ikafanyika kwa mara ya kwanza kwa Waprotestanti wa Ufransa. Kwa kanisa ndogo

hilo kukatoka wahubiri wengi waaminifu.

Mara ingine tena Calvin akarudi Paris, lakini akakuta karibu kila mlango wa kazi

umefungwa. Yeye mwishowe akakusudia kwenda Ujeremani. Kwa shida aliacha Ufransa

wakati zoruba ilitokea juu ya Waprotestanti. Watengenezaji wa Ufransa wakakusudia

kupambana na pigo hodari juu ya mambo ya ibada ya sanamu ya Roma ile iliyopashwa

kuamsha taifa lote. Matangazo kwa kushambulia misa katika usiku moja yakawekwa kwa

Ufransa pote. Mahali pa kuendeleza kazi ya Matengenezo, tendo hilo la upumbavu likawapa

Warumi sababu ya kudai kuangamizwa kwa “wapinga ibada ya dini” kama wafitini wa hatari

kwa usitawi wa kiti cha mfalme na amani ya taifa.

Mojawapo ya matangazo liliwekwa kwa mlango wa chumba cha pekee cha mfalme.

Uhodari wa upekee wa kujiingiza kwa maneno ya kushangaza haya mbele ya mfalme na

jambo hilo likaamsha hasira ya mfalme. Ghazabu yake ikapata usemi katika maneno makali:

“Wote wakamatiwe bila tofauti wanaozaniwa kuwa wafuasi wa Luther. Nitawaangamiza

wote.” Mfalme akajiweka kwa upande wa Roma.

Utawala wa Hofu Kuu

Mfuasi maskini wa imani ya matengenezo aliyezoea kuita waaminifu kwa mikutano ya

siri akakamatwa. Kwa kutishwa juu ya kifo cha gafula kwa mti wa kuchomwa, akaamuriwa

kuongoza mjumbe wa Papa kwa nyumba ya kila mprotestanti katika mji. Hofu ya ndimi ya

moto ikawa nyingi sana, na akakubali kusaliti ndugu zake. Morin, polisi wa mfalme, pamoja

na msaliti, kwa polepole na ukimya akapita katika njia za mji. Walipofika mbele ya nyumba

ya mtu mmoja wa Luther, msaliti akafanya ishara, lakini bila kusema neno. Mwandamano

ukasimama, wakaingia nyumbani, jamaa likakokotwa na kufungwa minyororo, na mfuatano

wa kutisha ukaendelea katika kutafuta watu wengine wapya wa kutesa. “Morin akatetemesha

mji wote. ... Ulikuwa utawala wa hofu kuu.”

Watu walioteswa wakauawa kwa mateso makali, ikaamriwa kwamba moto upunguzwe ili

kuzidisha mateso yao. Lakini walikufa kama washindaji, musimamo wao usiotikisika, amani

yao kamili. Watesi wao wakajiona wenyewe kwamba walishindwa. “Watu wa Paris wote

wakapata nafasi ya kuona aina gani ya watu mawazo mapya yaliweza kuleta. Hakuna

mimbara ilikuwako kwa kulinganishwa na mjumba kubwa la wafia dini. Furaha ikaangazia

nyuso kunjufu za watu hawa wakati walipokuwa wakielekea ... pahali pa kuuawa ... na

kuomba kwa usemaji wa kushangaza kwa ajili ya injili.”

87

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!