12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Maelfu ya Wachungaji (Pasteurs) Walifukuzwa

Katika karne ya kumi na saba maelfu ya wachungaji walifukuzwa na watu wakakatazwa

kuhuzuria mikutano yo yote ya dini isiyokuwa ile iliyoruhusiwa na kanisa. Ndani ya kimbilio

la vilindi mwituni, wale watoto wa Bwana walioteswa walikusanyika kwa kumimina roho zao

katika maombi (sala) na kusifu. Wengi waliteseka kwa ajili ya imani yao. Gereza zilijaa,

jamaa zikatengana. Lakini mateso hayakunyamazisha ushuhuda wao. Wengi walilazimishwa

kuvuka bahari kwenda Amerika na hapo ndipo paliwekwa msingi wa utaalamu na uhuru wa

dini.

Ndani ya gereza kulijaa na watu waliofanya makosa makubwa, John Bunyan, akapumua

hewa ya mbinguni na akaandika mizali yake ya ajabu ya safari ya msafiri kutoka kwa inchi

ya uharibifu kwenda kwa mji wa mbinguni. Pilgrim’s Progress na Grace Abounding to the

Chief of Sinners vimeongoza nyayo nyingi kwa njia ya uzima.

Katika siku ya giza ya kiroho Whitefield na Wesleys wakatokelea kama wachukuzi wa

nuru kwa ajili ya Mungu. Chini kanisa lililoanzishwa watu wakarudia zambini ambayo ni

vigumu kutofautisha kwa ushenzi. Watu wa vyeo vya juu wakacheka uchaji wa Mungu; watu

wa vyeo vya chini wakazamishwa kwa maovu. Kanisa halikuwa na uhodari ao imani kwa

kusaidia maanguko ya neno la kweli.

Kuhesabiwa Haki kwa Imani

Mafundisho makubwa ya kuhesabiwa haki kwa imani, yaliyofundishwa wazi wazi na

Luther, yalikuwa karibu kusahauliwa kabisa; kanuni ya kanisa la Roma ya kutumaini matendo

mema kwa ajili ya wokovu yakakamata nafasi yake. Whitefield na Wesleys wawili walikuwa

watafuti wa kweli kwa ajili ya wema wa Mungu. Hii walifundishwa kuwekwa salama kwa

njia ya wema na kushika maagizo ya dini.

Wakati Charles Wesley kwa wakati moja alipopata ugonjwa na akatumaini kwamba kifo

kilikuwa karibu, akaulizwa, msingi wa tumaini lake la uzima wa milele ulikuwa juu ya kitiu

gani. Jibu lake: “Nimetumia juhudi yangu bora kumtumikia Mungu.” Rafiki ilionekana

hakutoshelewa kabisa kwa jibu hili. Wesley akafikiri: “Nini! ... Anatamani kuninyanganya

juhudi yangu? Sina kitu kingine cha kutumainia.” Hiyo ndiyo ilikuwa giza ambayo iliyoimara

kwa kanisa, kugeuza watu kutoka kwa tumaini lao pekee la wokovu--damu ya Mkombozi

aliyesulubiwa.

Wesley na washiriki wake wakaongozwa kufahamu kwamba sheria ya Mungu inafikishwa

mawazoni pia kwa maneno na matendo. Kwa juhudi za kazi na maombi wakafanya bidii ya

kushinda maovu ya moyo wa asili. Wakaishi maisha ya kujinyima na kujishusha,

wakachunguza kwa uaminifu kila mpango waliochukua ambao ungeweza kuwa wa kusaidia

kwa kupata utakatifu ule ambao uliweza kutunza wema wa Mungu. Lakini juhudi zao

wenyewe hazikuweza kuwapa uhuru kutoka kwa hukumu ya zambi ao kuvunja uwezo wake.

100

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!