12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

“Hawakuomba kitu kwa inchi bali zawadi za kweli za kazi yao... Waliishi kwa uvumilivu

wa taabu ya jangwani, wakanyunyizia maji ya mti wa uhuru kwa machozi yao, na jasho ya

vipaji vya nyuso zao, hata ukatia mizizi yake chini sana katika inchi.”

Ulinzi wa kweli Kabisa wa Ukuu wa Taifa

Kanuni za Biblia zilikuwa zikifundishwa katika jamaa, chuoni, na kanisani; matunda yake

yalionekana katika uangallifu wa kutumia feza, akili, usafi, na kiasi. Mtu mmoja angeweza

kwa muda wa miaka “bila kuona mlevi, ao kusikia kiapo, wala kukutana na muombaji.”

Kanuni za Biblia ndizo kingo ao walinzi wa kweli kabisa wa ukuu wa taifa. Inchi zaifu

zilizokuwa chini ya utawala wa inchi ingine (colony) zilifanikiwa na kuwa majimbo yenye

uwezo, na dunia ikaona usitawi wa “kanisa bila Papa, na serkali bila mfalme.”

Lakini hesabu iliongezeka ya watu waliovutwa na Amerika kwa makusudi tofauti na

Wasafiri wa kwanza. Hesabu iliyoongezeka ni ya wale waliotafuta tu faida ya kidunia.

Mabwana wa kwanza wakaruhusu washiriki wa kanisa tu kwa kuchagua ao kuongoza kazi

katika Serkali.

Mpango huu ulikubaliwa kwa kulinda usafi wa Serkali; ukaleta matokeo ya uharibifu wa

kanisa. Wengi wakajiunga na kanisa bila badiliko la moyo. Hata katika kazi ya injili kulikuwa

wale waliokuwa wajinga wa uwezo mpya wa Roho Mtakatifu. Tangu siku za Constantine hata

wakati huu, kujaribu kujenga kanisa kwa usaada wa serkali, ambapo inaweza kuonekana

kuleta ulimwengu karibu ya kanisa, kwa kweli huleta kanisa karibu ya ulimwengu.

Makanisa ya Protestanti ya Amerika, na yale ya Ulaya pia, yakashindwa kuendelea mbele

katika njia ya matengenezo. Wengi, kama Wayahudi wa siku za Kristo ao wakatoliki katika

wakati wa Luther, walirizika kuamini kama mababa zao walivyoamini. Makosa na ibada ya

sanamu vilishikwa. Matengenezo polepole yakafa, hata kukawa haja kubwa sana ya

matengenezo katika makanisa ya Kiprotestanti hata katika kanisa la kiRoma wakati wa

Luther. Hapo kulikuwa heshima ya namna moja kwa maoni ya watu na kutia mafikara ya

binadamu kwa nafsi ya Neno la Mungu. Watu wakaacha kutafuta Maandiko na kwa hiyo

wakaendelea kutunza mafundisho ambayo haikuwa na msingi katika Biblia.

Kiburi na upotovu (ujinga) yakalindwa chini ya umbo la dini, na makanisa yakaharibika.

Mambo ya asili ambayo yalipaswa kuharibu mamilioni ya watu yalikuwa yakipata mizizi ya

nguvu. Kanisa lilikuwa likishika mambo ya asili haya baadala ya kushindana kwa ajili ya

“imani ambayo iliyotolewa kwa watakatifu.”

Ndiyo namna kanuni ziliunguzwa heshima (aibishwa) ambazo Watengenezaji

walizotesekea sana.

118

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!