12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

kwa hali ya mapatano ya adabu ya hivi hivi tu ya mda, na kwamba watu wawili wanaweza

kuunga na kuvunja kwa mapenzi. ... Sophie Arnoult, mtendaji wa kike wa sifa kwa mambo

ya kuchekesha akasema, akaeleza kuwa ndoa ya serkali ni kama `sakramenti ao siri ya

uzinzi.’”

Uadui Juu ya Kristo

“Mahali pia Bwana wetu alisulibiwa.” Jambo hili vile vile lilitimilika kwa Ufransa.

Hakuna inchi ambayo ukweli ulikutana na upinzani wa ukaidi kama Ufransa. Katika mateso

iliyozuriwa kwa washahidi wa injili, Ufransa ulisulibisha Kristo katika mwili wa wanafunzi

wake.

Karne kwa karne damu ya watakatifu ilikuwa ikimwangika. Huku Wawaldense (Vaudois)

walitoa maisha yao kwa milima ya Piedmont (kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu Kristo,”

ushuhuda wa namna ile ile uliochukuliwa na Albigeois wa Ufransa. Wanafunzi wa

Matengenezo waliouawa kwa mateso ya ajabu. Mfalme na wakuu, wanawake wa kizazi cha

juu na wabinti wazuri walishibisha macho kwa maumivu makuu ya wafia dini wa Yesu.

Wahuguenots washujaa walimwaga damu yao pahali pa mapigano makali, kuwindwa kama

wanyama wa mwitu.

Wazao wachache wa Wakristo wa zamani waliobaki kwa karne ya kumi na nane

wakajificha katika milima ya Kusini, wakalinda imani ya mababa zao. Wakatembea kwa

shida kwa maisha marefu ya utumwa ndani ya mashua ya vita (galères). Watu wa malezi safi

sana na wenye akili wa Ufransa waliishi katika minyororo, katika mateso mabaya sana, kati

ya wanyanganyi na wauaji. Wengine wakapigwa risasi na kuanguka katika damu ya baridi

wanapoanguka kwa magoti yao katika sala. Inchi yao, ikateketezwa kwa upanga, shoka, na

kwa moto, “ikageuka kuwa jangwa kubwa, la giza.” “Mambo haya mabaya sana yakaendelea

... katika nyakati zisizokuwa za giza bali katika wakati wa nuru wa Louis XIV. Elimu

iliongezeka, vitabu ao maarifa yakaendelea vizuri, walimu wa elimu ya tabia na sifa za Mungu

wa baraza ya hukumu na wa mji mkuu walikuwa wenye maarifa (savants) na wasemaji,

wakavutwa na neema ya upole na upendo.”

Uovu Mbaya Sana Kupita Mengine

Lakini uovu mbaya zaidi miongoni mwa matendo maovu ya karne za kutisha ilikuwa

machinjo ao mauaji matakatiifu ya SaintBartheiemy. Chini ya mkazo wa mapadri na

maaskofu, mfalme wa Ufransa akatoa ukubali wake. Kengele kulia katika ukimya wa usiku,

ikatoa ishara ya mauaji. Maelfu ya Waprotestanti, walipokuwa wakilala nyumbani mwao,

wakitumaini neno la heshima la mfalme wao, wakakokotwa na kuuawa.

Machinjo yakaendelea kwa siku saba katika Paris. Kwa agizo la mfalme mauaji yakaenea

kwa miji yote mahali Waprotestanti walikuwako. Wakuu na wakulima, wazee na vijana,

wamama na watoto, wakachinjwa pamoja. Katika Ufransa po pote kulikuwa nafsi 70.000 za

ua la taifa wakauawa.

107

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!