12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Hatua kwa hatua Matengenezo yakaendelea katika Zurich. Katika mushtuko adui zake

wakaamka kwa kushindana kwa bidii. Mashambulio mingi yakafanywa juu ya Zwingli.

Mwalimu wa wapinga imani ya dini anapashwa kunyamazishwa. Askofu wa Constance

akatuma wajumbe watatu kwa Baraza la Zurich, kumshitaki Zwingli juu ya kuhatarisha amani

na utaratibu wa jamii. Kama mamlaka ya kanisa ikiwekwa pembeni, akasema, machafuko

kote ulimwenguni yatatokea.

Baraza likakataa kukamata mpango juu ya Zwingli, na Roma ikajitayarisha kwa

shambulio jipya. Mtengenezaji akapaliza sauti: “Muache waje”; Ninawaogopa kama vile

mangenge yanayo tokajuu yakimbiavyo mavimbi yanayo mgurumo kwa miguu yake.” Juhudi

za waongozi wa kanisa ziendelesha kazi waliotamani kuharibu. Kweli ikaendelea kusambaa.

Katika Ujeremani wafuasi wake, walipohuzunishwa kwa kutoweka kwa Luther, wakatiwa

moyo tena walipoona maendeleo ya injili katika Usuisi. Namna Matengenezo yaliimarishwa

katika Zurich, matunda yake yalionekana zaidi kabisa katika kuvunjwa kwa uovu na

kuendeleshwa utaratibu.

Mabishano (Wafuasi wa kanisa la Roma)

Kwa kuona namna mateso ya kutangaza kazi ya Luther katika Ujeremani haikufanya kitu,

Warumi wakakusudiakuwe mabishano na Zwingli. Walikuwa na hakika ya ushindi kwa

kuchagua si makali tu pa vita bali waamuzi waliopashwa kuamua kati ya wabishanaji. Na

kama wangeweza kupata Zwingli katika uwezo wao, wangefanya angalisho ili asikimbie.

Shauri hili, basi, likafichwa kwa uangalifu. Mabishano yalipaswa kuwa huko Bade. Lakini

Baraza la Zurich, kuzania makusudi ya watu wa Papa na walipoonywa juu ya vigingi vya

moto vilivyowashwa katika makambi ya wakatoliki kwa ajili ya washahidi wa injili,

wakamkataza mchungaji wao kujihatarisha maisha yake. Kwa kwenda Bade, mahali damu ya

wafia dini kwa ajili ya ukweli ilikuwa imetiririka, ingeleta kifo kweli. Oecolampadius na

Haller wakachaguliwa kuwa wajumbe wa Watengenezaji, wakati Dr. Eck mwenye sifa,

akisaidiwa na jeshi la watu wenye elimu sana na wapadri, alikuwa ndiye shujaa wa Roma.

Waandishi wakachaguliwa wote kwa wakatoliki, na wengine wakakatazwa kuandika ao

wasipotii wauwawe. Mwanafunzi mmoja, aliyeshiriki katika mabishano akaandika abari kila

jioni juu ya mabishano yaliyofanyika mchana ule. Wanafunzi wawili wengine wakaagizwa

kutoa kila siku barua za Oecolampadius, kwa Zwingli huko Zurich. Mtengenezaji akajibu,

anapotoa shauri. Kwa kuepuka uangalifu wa mlinzi wa milango ya mji, wajumbe hawa

walileta vikapo vya bata juu ya vichwa vyao na wakaruhusiwa kupita bila kizuizi.

Zwingli “alitumika zaidi,” akasema Myconius, “kwa mawazo yake, kukesha kwake usiku,

na shauri alilopeleka Bade, kuliko angeweza kufanya kwa kubishana mwenyewe katikati ya

adui zake.” Wakatoliki wakafika Bade na mavazi ya hariri ya fahari sana ya mapambo ya vitu

vya damani. Wakasafiri na anasa sana, na kukaa kwa meza zilizojaa vyakula vitamu sana na

divai nzuri sana. Kukawa tofauti kubwa sana kati yao na Watengenezajiambao chakula chao

cha kiasi kikawakalisha kwa mda mfupi tu mezani. Mwenyeji wa Oecolampade,

70

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!