12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 37. Maandiko - Mlinda Yetu Pekee

Watu wa Mungu wanaongozwa kwa maandiko kama mlinda usalama wao kwa kupinga

mvuto wa wa waalimu wa uongo na roho za giza. Shetani hutumia kila shauri lo lote

iwezekanavyo kuzuia watu kupokea maarifa ya Biblia, kwa usemi ao maneno yake ya

waziinafunua madanganyifu yake. Madanganyo makubwa ya mwisho ni karibu kufunguliwa

mbele yetu. Mpinga Kristo atafanya kazi yake ya ajabu mbele ya macho yetu kwa ukaribu

kutakuwa mfano wa kufanana na iliyo ya kweli ambayo itakuwa haiwezekani kutofautisha

kati yao isipokuwa kwa Maandiko. Wale wanaojitahidi kutii amri zote za Mungu watapingwa

na kuzarauliwa. Kwa kuvumilia jaribu, wanapaswa kufahamu mapenzi ya Mungu kama

inavyofuniliwa katika Neno lake. Hapana mtu bali wale ambao wamaimarisha akili kwa kweli

za Biblia watakaosimama katika vita kubwa ya mwisho.

Mbele ya kusulibiwa kwake mwokozi alielezea wanafunzi wake ya kama alipashwa

kuuawa na kufufuka tena. Lakini maneno yaliondolewa mbali kutoka kwa mawazo ya

wanafunzi. Wakati jaribu lilipofika, kifo cha Yesu kikaharibu kabisa matumaini yao kama

kwamba hakuwaonya mbele. Kwa hivyo katika mambo ya unabii na wakati ujao umefunuliwa

wazi mbele yetu kwa kama ulivyofunuliwa kwa wanafunzi na Kristo mwenyewe. Tukio

zinazo ambatana na wakati wa kufungwa wakati wa majaribu na kazi ya matayarisho kwa

wakati wa taabu yanaonyeshwa wazi. Lakini wengi hawanaufahamu wa kweli hizi za maana

sana, na wakati wa taabu utafika utawakuta wasiokuwa tayari.

Wakati Mungu anapotuma maonyo, anaagiza kila mtu kujaliwa na sababu kwa kukubali

ujumbe. Hukumu za kutisha juu ya kuabudu mnyama na sanamu yake(Ufunuo 14:9-11)

inapashwa kuongoza wote kujifunza namna alama ya mnyama inavyokuwa na namna gani ya

kuepuka kuipokea. Lakini jamii ya watu hawataki ukweli wa Biblia, kwa sababu unazuia

tamaa za moyo wa zambi. Shetani anatoa mambo ya udanganyifu wanaopenda.

Lakini Mungu atakuwa na watu watakaodumisha Biblia, na ni Biblia peke yake, kama

kawaida ya mafundisho yote na msingi wa matengenezo yote. Nia za watu waliojifunza,

matoleo ya elimu ya kweli, makusudi ya baraza za kanisa, sauti ya watu wengi-hakuna

mojawapo ya haya yanapashwa kuzaniwa kama ushahidi kwa kukubaliana ao kutokubali

mafundisho yo yote. Inatupasa kudai zahiri “Bwana anasema hivi”. Shetani anaongoza watu

kutazama kwa wachungaji, kwa waalimu wa elimu ya tabia na sifa za Mungu na dini kama

viongozi vyao, badala ya kuchunguza Maandiko wao wenyewe. Kwa kutawala waongozi

hawa, anaweza kuvuta wengi.

Wakati Kristo alipokuja, watu wa kawaida walimsikia kwa furaha. Lakini mkuu wa

ukuhani na watu wenye kuongoza wakajiingiza wao wenyewe katika uzalimu; wakakataa

ushuhuda wa Umasiya wake. “Namna gani inakuwa”, watu wakauliza, “ya kama watawala

wetu na wandishi waliojifunza hawaamini Yesu? Waalimu kama wale walioongoza taifa la

Wayuda kukataa Mkombozi wao.

242

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!