12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

linainua kweli kwamba “watu wote wameumbwa sawasawa” na wanatolewa na haki ya daima

kwa “maisha, uhuru, na kutafuta furaha.”

Sheria inatoa haki kwa watu ya kujitawala, kuhakikisha kwamba wajumbe

waliochaguliwa kwa uchaguzi wa kupendwa na watu wote watafanya na kuamuru sheria.

Uhuru wa imani ya dini ulitolewa pia. Utawala wa uchaguzi (Republicanism) ya Dini la

Kiprotestanti yakawa kanuni za msingi za taifa, siri ya uwezo wake na usitawi. Mamilioni

wakatafuta pwani zake, na Amerika ikapanda kwa pahali miongoni mwa mataifa yenye uwezo

mwingi zaidi duniani.

Lakini nyama aliyekuwa na pembe mbili, mfano wa mwanakondoo “akasema kama joka.

Naye atumia uwezo wote wa mnyama yule wa kwanza mbele yake, na kufanya dunia nao

wanaokaa ndani yake waabudu mnyama wa kwanza, ambaye kidonda chake cha mauti

kilipona; ... akiwaambia wale wanaokaa juu ya dunia, kumfanyia sanamu yule mnyama,

aliyekuwa na kidonda cha upanga, naye aliishi.” Ufunuo 13:11-14.

Pembe mfano wa mwana-kondoo na sauti ya joka inaonyesha kwa mabishano. Utabiri

kwamba itasema “kama joka” na kutumia “maneno kwa uwezo wote wa nyama yule wa

kwanza” unatabiri roho ya kutokuwa na uvumilivu na ya kutesa. Na maneno kwamba

mnyama aliyekuwa na pembe mbili “naye dunia alifanya” na wale wanaokaa ndani yake

waabudu mnyama wa kwanza” inaonyesha kwamba mamlaka ya taifa hili ni kutumia nguvu

kwa kushika maagizo fulani ambayo itakuwa tendo la heshima kwa utawala wa kipapa.

Tendo la namna hiyo lingekuwa kinyume kwa asili ya sheria zake za uhuru, kwa taratibu

ya maneno ya kukiri Tangazo la Uhuru, na kwa sheria. Sheria inaweka tayari kwamba “Baraza

kuu haitaweka sheria kupendelea makao ya dini, wala kukataza uhuru wa matumizi hiyo,” na

kwamba “hakuna jaribio la dini litakalodaiwa kamwe kama sifa kwa kazi yo yote ya tumaini

la watu wote chini ya mataifa ya muungano (United States). Kuvunja wazi kwa kinga hizi

(mambo yanayofanya salama) za uhuru kunaonyeshwa katika mfano huu. Mnyama aliyekuwa

na pembe mbili mfano wa mwana-kondooanayejitangaza kuwa safi, mtulivu-asiyeumizaanasema

kama joka.

“Akiwaambia wale wanaokaa juu ya dunia, kumfanyia sanamu yule nyama.” Hapa

panaonyeshwa namna ya serkali ambapo mamlaka ya kufanya sheria inadumu kwa watu,

ushuhuda wa kushangaza zaidi kwamba Amerika ni taifa lenye maana fulani.

Lakini “sanamu kwa mnyama” ni nini? Namna gani inafanywa?

Wakati kanisa la zamani lilipochafuka, likatafuta msaada wa uwezo wa kidunia. Matokeo:

Kanisa la Roma (Papa), kanisa lililotawala serkali, hasa zaidi sana kwa ajili ya azabu ya

uzushi.” Ili Amerika ipate kufanya ‘’sanamu ya mnyama,” mamlaka ya dini inapaswa

kutongoza serkali kwamba serkali itatumiwa vilevile kwa kanisa kutimiza vifiko vyake

mwenyewe.

181

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!