12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Kutafuta Amani

Mapenzi ya kupata amani pamoja na Mungu yakamwongoza kujitoa mwenyewe kwa

maisha ya utawa. Hapa alikuwa akitakiwa kufanya kazi ngumu za chini sana na kuomba omba

nyumba kwa nyumba. Akaendelea kwa uvumilivu katika kujishusha huku,akiamini hii kuwa

lazima sababu ya zambi zake. Alijizuia mwenyewe saa zake za usingizi na kujinyima hata

wakati mdogo wakula chakula chake kichache, akapendezwa na kujifunza Neno la Mungu.

Alikuta Biblia iliyofungiwa mnyororo kwa ukuta wa nyumba ya watawa, na kwa hiki (Biblia)

akaenda mara kwa mara.

Akaanza maisha magumu sana zaidi, akijaribu kufunga,kukesha, na kujitesa kwa kutisha

maovu ya tabia yake. Akasema baadaye, “Kama mtawa angeweza kupata mbingu kwa kazi

zake za utawa, hakika ningepaswa kustahili mbingu kwa kazi hiyo. ... Kama ingeendelea

wakati mrefu, ningepaswa kuchukua uchungu wangu hata kufa.” Kwa bidii yake yote, roho

ya taabu yake haikupata usaada. Mwishowe akafika karibu hatua ya kukata tamaa.

Wakati ilionekana kwamba mambo yote yamepotea, Mungu akainua rafiki kwa ajili yake.

Staupitz akafungua Neno la Mungu kwa akili wa Luther na akamwomba kutojitazama

mwenyewe na kutazama kwa Yesu. “Badala ya kujitesa mwenyewe kwa ajili ya zambi zako,

ujiweke wewe mwenyewe katika mikono ya Mwokozi. Umutumaini, katika haki ya maisha

yake, malipo ya kifo chake...Mwana wa Mungu alikuwa mtu kukupatia uhakikisho wa toleo

ya kimungu. ... Umpende yeye aliyekupenda mbele.” Maneno yake yakafanya mvuto mkubwa

kwa ajili ya Luther. Amani ikakuja kwa roho yake iliyataabika.

Alipotakaswa kuwa padri, Luther akaitwa kwa cheo cha mwalimu katika chuo kikuu

(universite) cha Wittenberg. Akaanza kufundisha juu ya Zaburi, Injili, na kwa barua kwa

makundi ya wasikilizi waliopendezwa. Staupitz, mkubwa wake akamwomba kupanda kwa

mimbara na kuhubiri. Lakini Luther akajisikia kwamba hastahili kusema kwa watu katika jina

la Kristo. Ilikuwa tu baada ya juhudi ya wakati mrefu ndipo alikubali maombi ya rafiki zake.

Alikuwa na uwezo mkubwa katika Maandiko, na neema ya Mungu ilikuwa juu yake. Kwa

wazi uwezo ambao alifundisha nao ukweli ukasadikisha ufahamu wao, na nguvu yake ikagusa

mioyo yao.

Luther alikuwa akingali mtoto wa kweli wa Kanisa la Roma, hakuwa na wazo kwamba

atakuwa kitu kingine cho chote. Akaongozwa kuzuru Roma, aliendelea safari yake kwa

miguu, kukaa katika nyumba za watawa njiani. Akajazwa na ajabu hali nzuri na ya damani

ambayo alishuhudia. Watawa (moines) walikaa katika vyumba vizuri, wakajivika wao

wenyewe katika mavazi ya bei kali, na kujifurahisha kwa meza ya damani sana. Mafikara ya

Luther yalianza kuhangaika.

Mwishowe akaona kwa mbali mji wa vilima saba. Akaanguka mwenyewe chini udongoni,

kupaaza sauti: “Roma mtakatifu, nakusalimu!” Akazuru makanisa akasikiliza hadizi za ajabu

zilizokaririwa na mapadri na watawa, na kufanya ibada zote zilizohitajiwa. Po pote, mambo

47

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!