12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Je, wale ambao mioyo yao imejazwa na uchuki kwa Mungu, kwa kweli na kwa utakatifu,

wanaweza kuchanganyika pamoja na makutano ya mbinguni na kujiunga katika nyimbo zao

za sifa? Miaka ya rehema ilitolewa kwao, lakini hawakuzoeza moyo wao kupenda usafi.

Hawakujifunza kamwe lugha ya mbinguni. Sasa ni kuchelewa.

Maisha ya maasi kumpinga Mungu haikuwastahilisha kwa mbinguni. Usafi wake na

amani yangekuwa ni mateso kwao; utukufu wa Mungu ungekuwa moto unaoteketeza.

Wangetamani sana kukimbia kutoka mahali pale patakatifu na wangekaribisha vizuri

maangamizi, ili waweze kufichwa kutoka usoni pake yeye aliyekufa kwa kuwakomboa.

Mwisho wa waovu anaimarishwa kwa uchaguzi wao wenyewe. Kufukuzwa kwao kutoka

mbinguni ni kwa kujichagulia wao wenyewe na ni haki na rehema kwa upande wa Mungu.

Kama maji ya Garika mioto ya siku kuu inatangaza hukumu ya Mungu kwamba hakuna dawa

ya waovu. Mapenzi yao imetumiwa katika maasi. Wakati uzima unapoisha, ni kuchelewa sana

kugeuza mawazo yao kutoka kwa uasi hata wa utiifu, kutoka kwa uchuki hata kwa mapendo.

Mshahara wa Zambi

“Kwa maana mshahara wa zambi ni mauti, lakini zawadi ya Mungu ni uzima wa milele

katika Yesu Kristo Bwana wetu.” Wakati ambao uzima ni uriti wa wenye haki, mauti ni

sehemu ya waovu. “Mauti ya pili” inawekwa kinyume na uzima wa milele. Waroma 6:23;

tazama Ufunuo 20:14.

Kwa matokeo ya zambi ya Adamu, mauti imewekwa juu ya uzao wote wa wanadamu.

Wote sawasawa huenda chini kaburini. Na kwa njia ya mpango wa wokovu, wote

wanapashwa kuletwa kutoka kwa makaburi yao: “kutakuwa ufufuo wa wafu, wote wenye

haki na wasio haki pia.” “Kwa sababu kama katika Adamu wote wanakufa, hivyo wote katika

Kristo watafanywa wahai.” Lakini tofauti imefanywa kati ya makundi mawili inayoletwa:

“Wote walio katika makaburi watasikia sauti yake, nao watatoka; wale waliofanya mema kwa

ufufuo wa uzima, na wale waliofanya mabaya, kwa ufufuo wa hukumu.” Matendo 24:15; 1

Wakorinto 15:22; Yoane 5:28,29.

Ufufuo wa Kwanza

Wale “wanaohesabiwa kuwa wamestahili” kwa ufufuo wa kwanza ni “heri na

Watakatifu”. “Juu ya hawa mauti ya pili haina nguvu.” Luka 20:35; Ufunuo 20:6. Lakini wale

wasiopata msamaha kwa njia ya toba na imani wanapaswa kupokea “mishahara ya zambi,”

azabu “kufwatana na matendo yao,” kuishi katika “mauti ya pili.”

Kwani ni jambo lisilowezekana kwa Mungu kuokoa mwenye zambi katika zambi zake,

anamwondolea maisha yake ambayo makosa ilinyanganya na ambaye amejionyesha

mwenyewe kwamba hastahili. ” Maana bado kidogo na mwovu hatakuwa; ndiyo utafikiri sana

pahali pake, naye hatakuwa,” “Na watakuwa kama hawakuwa mbele.” Zaburi 37:10; Obadia

16. Wanazama katika usahaulifu usiokuwa na matumaini ya milele.

221

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!