12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

anawashikilia kuwa watumwa. Hakuna kitu kingine kisipokuwa uwezo wa Mungu, kwa jibu

kwa maombi ya bidii, inayowezakuokoa nafsi hizi.

Wote wanaolinda zambi inayojulikana kwa makusudi wanaalika majaribu ya Shetani.

Wanajitenga wenyewe kutoka kwa Mungu na ulinzi wa malaika zake, na wanakuwa pasipo

mateteo. “Na wakati wanapokuambia: Tafuta habari kwa watu wenye roho na kwa walozi

wafumu, wanaolialia kama ndege na kunungunika, sema, haifai kwa watu kutafuta kwa

Mungu wao? Waenda kwa watu waliokufa kwa ajili ya watu walio hai? Kwa sheria na kwa

ushuhuda! Kama hawasemi sawasawa na neno hili, kweli hapana asubui kwao.” Isaya 8:19,

20.

Kama watu wangekusudia kupokea ukweli juu ya asili ya mtu na hali ya wafu, wangeona

katika imani ya kuwa roho ya watu waliokufa (spiritisme) uwezo wa Shetani na miujiza ya

uwongo. Lakini wengi wanafunga macho yao kwa nuru, na Shetani anafuma mitego yake

kwao. “Kwa sababu hawakupokea mapendo kwa kweli, wapate kuokolewa,” kwa sababu hii,

“Mungu anawaletea nguvu ya upotevu, hata waamini uwongo.” 2 Watesalonika 2:10, 11.

Wale wanaopinga imani ya kuwako kwa roho ya watu waliokufa (spiritisme)

wanashambulia Shetani na malaika zake. Shetani hataacha hatua (=2,54cm) moja ya uwanja

ila tu akisukumwa kwa nguvu na wajumbe wa mbinguni. Anaweza kutumia Maandiko na

atapotosha maana ya mafundisho Wale watakaosimama kwa wakati huu wa hatari

wanapashwa kufahamu wao wenyewe ushuhuda wa Maandiko.

Pepo za mashetani wanaoiga ndugu ao rafiki watatokea kwa huruma za mapendo kwetu

na watafanya miujiza. Inatupasa kuwazuia kwa njia ya kweli ya Biblia ya kwamba wafu

hawajui kitu cho chote na ya kwamba wale wanaotokea ni pepo za mashetani.

Imani yao yote haikuanzishwa kwa Neno la Mungu watadanganyiwa na kushindwa.

Shetani “anatumika na madanganyo yote ya uovu, ” Na madanganyo yake yataongezeka.

Lakini wale wanaotafuta maarifa ya kweli na safi nafsi zao katika utii watapata katika Mungu

wa kweli ulinzi wa hakika. Mwokozi angetuma upesi kila malaika kutoka mbinguni kulinda

watu wake kuliko kuacha nafsi moja inayotumaini kushindwa na Shetani. Wale wanaojifariji

wenyewe kwa uhakikisho kwamba hakuna azabu kwa ajili ya mwenye zambi, wanaokataa

kweli ambayo Mbingu inayotoa kama ulinzi kwa siku ya taabu, watakubali madanganyo

yaliyotolewa na Shetani, madai ya imani ya madanganyo za watu waliokufa (spiritisme).

Wenye kuzihaki wanazani mizaha matangazo ya Maandiko juu ya shauri la wokovu na

malipo yatakayokuja ya wanaokataa kweli. Wanageuza jambo la kutia huruma kwa mawazo

ya ushupavu, uzaifu, na mafundisho ya uchawi kama kutii matakwa ya sheria ya Mungu.

Wamejitoa wote kwa mshawishi, wamejiunga karibu sana naye na kujazwa na roho yake, ili

wasiwe na upungufu kutoka katika mtego wake.

Msingi wa kazi ya Shetani uliwekwa kwa matumaini iliyotolewa kwa Hawa katika Edeni:

“Hakika hamutakufa”. “Siku mutakapokula matunda yake, macho yenu yatafunguliwa, na

227

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!