12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 6. Mashujaa Wawili

Mwanzoni kwa karne ya tisa Biblia ilikuwa imekwisha kutafsiriwa na ibada ya watu wote

ikafanyika katika lugha ya watu wa Bohemia. Lakini Gregoire VII alikusudia kuweka watu

utumwani, na tangazo likatolewa kukataza ibada ya watu katika lugha ya Kibohemia. Papa

akatangaza kwamba “ilikuwa ni furaha kwa Mwenye enzi yote kwamba ibada yake ifanyiwe

katika lugha isiyojulikana.” Lakini Mungu anaweka tayari wajumbe kwa kulinda kanisa.

Wavaudois wengi na Waalbigenses, walipofukuzwa kwa ajili ya mateso, wakaja Bohemia.

Wakatumika kwa bidii katika siri. Kwa hiyo imani ya kweli ikalindwa.

Mbele ya siku za Huss kulikuwa watu katika Bohemia waliohukumu machafu ndani ya

kanisa. Vitisho vya serkali ya kanisa vikaamshwa, na mateso yakafunguliwa juu ya injili.

Baada ya mda ikaamriwa kwamba wote waliotoka kwa ibada ya kanisa la Roma walipaswa

kuchomwa. Lakini Wakristo, wakaendelea mbele kushinda kwa kusudi lao. Mmoja

akatangaza alipokuwa akifa, “Kutainuka mmoja kutoka miongoni mwa watu, bila upanga

wala mamlaka, na juu yake hawataweza kumushinda.” Tayari mmoja alikuwa akipanda,

ambaye ushuhuda wake wa kupinga Roma utashitusha mataifa.

Yohana Huss alikuwa mnyenyekewa tangu kuzaliwa na alikuwa ameachwa mapema

yatima kwa ajili ya kifo cha baba yake. Mama yake mtawa, kuzania elimu na kuogopa ya

Mungu kama hesabu kuwa thamani ya vile tunavyo, akatafuta kulinda urithi huu kwa ajili ya

kijana wake. Huss alijifunza kwa chuo cha jimbo, baadaye akaenda kwa chuo kikubwa

(universite) kule Prague, kwa sababu ya umaskini wake akapokelewa kwa bure.

Kwa chuo kikubwa, kwa upesi Huss akajitofutisha kwa ajili ya maendeleo yake ya upesi.

Upole wake, alipokwisha kupata mwenendo (tabia) ukampatia heshima ya ulimwengu.

Alikuwa mshiriki mwaminifu wa Kanisa la Roma na mwenye kutafuta na juhudi mibaraka ya

kiroho. Kanisa la Roma linajidai kutoa. Baada ya kutimiza majifunzo yake ya college,

akaingia katika ukasisi (upadri). Kwa haraka alipofikia cheo kikuu, akapelekwa kwa jumba

la mfalme. Akafanywa pia mwalimu (fundi) wa chuo kikuu na baadaye mkuu wa chuo kikuu

(recteur). Mwanafunzi mwema munyenyekevu akawa kiburi cha inchi yake, jina lake

likajulikana po pote katika Ulaya.

Jerome, ambaye baadaye alishirikiana na Huss, akaleta toka Uingereza maandiko ya

Wycliffe. Malkia wa Uingereza, aliyegeuzwa na mafundisho ya maisha ya Wycliffe, alikuwa

binti wa mfalme wa Bohemia. Kwa njia ya mvuto wake kazi za Mtengenezaji zikatangazwa

sana katika inchi yake ya kuzaliwa. Huss akainama na kukubali kwa heshima matengenezo

yaliyoletwa. Tayari, ingawa hakuijua, akaingi kwa njia ambayo iliweza kumwongoza mbali

sana ya Roma.

Picha mbili Inamvuta Huss

36

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!