12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

watu wa Bwana uamsho wa utawa wa zamani za mababu ambao haujashuhudiwa tangu

nyakati za mitume. Roho ya Mungu itamwangiwa. Wengi watajitenga kwa makanisa hayo

ambayo mapendo ya dunia hii yaliondoa upendo kwa Mungu na Neno lake. Wahubiri wengi

na watu watakubali kwa furaha zile kweli kubwa ambazo zinatayarisha watu kwa kuja kwa

Bwana mara ya pili.

Adui wa roho anataka kuzuia kazi hii, na kabla ya kufika kwa mwenendo wa namna hiyo,

atafanya nguvu kuuzuia kwa njia ya kuingiza mwigo. Katika makanisa yale ambayo anaweza

kuleta chini ya mamlaka yake ataifanya kuonekana kwamba baraka ya kipekee ya Mungu

imemwangwa juu yao. Makutano yatashangilia, “Mungu anatumika kwa ajabu,” wakati ile

kazi ni ya roho ingine. Chini yamtindo wa dini, Shetani atatafuta kueneza mvuto wake kwa

ulimwengu wa Wakristo. Hapo kunakuwa mwamsho wa maono, mchanganyiko wa kweli na

uwongo, uliotengenezwa vizuri sana kwa kudanganya.

Lakini katika nuru ya Neno la Mungu si vigumu kutambua tabia ya kazi hizi. Pahali pote

watu wanapozarau ushuhuda wa Biblia, kugeukia mbali na hizi zilizo zaili zinazo jaribu roho

ambazo zinaomba kujikana mwenyewe na kukana dunia, hapo tunaweza kuwa na hakika

kwamba baraka ya Mungu haikutolewa. Na kwa amri, “Mutawatambua kwa njia ya matunda

yao,” (Matayo 7:16), ni ushuhuda kwamba kazi hizi si kazi ya Roho ya Mungu.

Ukweli ya Neno la Mungu inakuwa ngao juu ya madanganyo ya Shetani. Kuzarau kweli

hizi kulifungua mlango kwa maovu yanayoenea sasa katika ulimwengu. Umuhimu wa sheria

ya Mungu umesahauliwa kwa eneo kubwa sana. Wazo mbaya juu ya sheria ya Mungu

limeongoza kwa makosa katika toba na utakaso, kwa kushusha kipimo cha utawa. Hapa ndipo

panapopatikana siri ya ukosefu wa Roho ya Mungu katika maamsho ya wakati wetu.

Sheria ya Uhuru

Waalimu wengi wa dini wanatetea kwamba Kristo kwa mauti yake aliondoa sheria.

Wengine wanaionyesha kama kongwa mzito wa kuhuzunisha, na kwa kinyume “utumwa” wa

sheria walioonyesha “uhuru” wa kufurahia chini ya habari njema.

Lakini si vile manabii na mitume walivyofanya mbele ya sheria takatifu ya Mungu.

Akasema Dawidi: “Na nitatembea huru kwa kuwa nimetafuta maagizo yako.” Zaburi 119:45.

Mtume Yakobo anatumia Amri kumi kama “sheria .kamili, ya uhuru.” Yakobo 1:25.

Mfumbuzi anatangaza baraka juu yao “wanaoshika amri zake (wanaofua nguo zao), wawe na

haki ya kula mti wa uzima, na kuingia katika mji kwa milango yake.” Ufunuo 22:14.

Kama ingewezekana kwa sheria kugeuzwa ao kuwekwa pembeni, Kristo hangehitaji kufa

kwa kuokoa mtu kwa azabu ya zambi. Mwana wa Mungu alikuja “kutukuza sheria na

kuifanyiza kuwa na heshima.” Isaya 42:21. Akasema: “Musizanie nilikuja kuharibu torati”;

“hata mbingu na inchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja haitaondoka, hata yote

yatimie.” Juu yake mwenyewe akasema: “Ninafurahi kufanya mapenzi yako, Ee Mungu

wangu; Ndiyo, sheria yako ni moyoni mwangu.” Matayo 5:17,18; Zaburi 40:8.

190

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!