12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 31. Pepo Wachafu

Malaika wa Bwana na pepo wachafu wanaonyeshwa wazi katika Maandiko na wanaingia

katika historia ya wanadamu. Malaika watakatifu wale “wanaotumikia watakaoriti wokovu”

(Waebrania 1:14) wanazaniwa kwa wengi kama pepo za waliokufa. Lakini Maandiko

inaonyesha hakika kwamba hawa si pepo inayoachana na mwili wa waliokufa.

Mbele ya kuumbwa kwa mtu, malaika walikuwa wakiishi, kwani wakati misingi ya dunia

ilipowekwa, ‘’nyota za asubui waliimba pamoja, na wana wote wa Mungu walipiga kelele

kwa furaha.” Yobu 38:7. Nyuma ya kuanguka kwa mtu, malaika walitumwa kulinda mti wa

uzima mbele ya mwanadamu kufa. Malaika wanakuwa wakubwa kwa cheo kuliko watu, kwa

kuwa mtu aliumba “chini kidogo kupita malaika “. Zaburi 8:5.

Nabii anasema, “Nikasikia sauti ya malaika wengi pande zote za kile kiti cha enzi.” Mbele

ya Mufalme wa wafalme wanangojea-“ninyi watumishi wake, munaofanya mapenzi yake,”

“mukisikiliza sauti ya neno lake,” “majeshi ya malaika elfu nyingi.” Ufunuo 5:11; Zaburi

103:20,21; Waebrania 12:22. Kama wajumbe wa Mungu wanatoka, kama “kuonekana, kwa

kumulika kwa umeme,” mruko wao mwepesi sana. Malaika aliyetokea kwa kaburi la

Mwokozi, sura yake “kama umeme,” ikawaletea walinzi kwa ajili ya hofu kutetemeka, na

“wakawa kama wafu.” Wakati Saniaribu alipomtukana Mungu na kuogopesha Waisraeli,

“malaika wa Bwana alitoka, akapiga katika kambi ya Waasuria watu elfu mia moja makumi

mnane na tano.” Ezekieli 1:14; Matayo 28:3,4; 2 Wafalme 19:35.

Malaika wanatumwa kwa kazi ya rehema kwa wana wa Mungu. Kwa Abrahamu, kwa

ahadi za baraka; kwa Sodomo, kuokoa Loti kwa maangamizo; kwa Elia, karibu kuangamizwa

katika jangwa; kwa Elisa, kwa magari ya farasi ya moto alipofungiwa ndani na adui zake;

kwa Danieli, wakati alipoachwa kuwa mawindo ya simba; kwa Petro, alipohukumiwa kifo

katika gereza ya Herode; kwa wafungwa kule Filipi; kwa Paulo katika usiku wa zoruba juu

ya bahari; kwa kufungua akili ya Kornelio kwa kukubali habari njema; kwa kutuma Petro

pamoja na habari njema ya wokovu kwa mgeni wa Kimataifa--kwa hivi malaika watakatifu

walitumikia watu wa Mungu.

Malaika Walinzi

Malaika mlinzi amewekwa kwa kila mfuasi wa Kristo. “Malaika ya Bwana anapiga kambi

kuzunguka wale wanaomwogopa, na anawaokoa.” Akasema Mwokozi, juu ya wale

wanaomwamini: “Mbinguni malaika zao wanatazama siku zote uso wa Baba yangu.” Zaburi

34:7; Matayo 18:10. Watu wa Mungu, walihatarishwa kwa uovu usiolala wa mfalme wa giza,

wanaahidiwa na ulinzi usiokoma wa malaika. Matumaini ya namna hiyo yanatolewa kwa

sababu kunakuwa na nguvu kubwa za uovu za kukutana nazo--nguvu zisizohesabika, imara

na zisizochoka.

209

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!