12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Kwa kujitayarisha kwa hukumu, watu wanapashwa kushika sheria ya Mungu, kipimo cha

tabia katika hukumu. Paulo anasema: “Wote waliokosa wakiwa na sheria, watahukumiwa

kwa sheria, ... katika siku ile Mungu atakapohukumu siri za watu ... kwa Yesu Kristo.” “Wale

wanaotenda sheria watakaohesabiwa haki.” Imani ina maana sana ili kushika sheria ya

Mungu; kwani “pasipo imani haiwezekani kumupendeza.” “Kila tendo lisilotoka katika imani

ni zambi.” Waroma 2:12-16; Waebrania 11:6; Waroma 14:23.

Malaika wa kwanza aliita watu kwa “kuogopa Mungu, na kumutukuza” na kumwabudu

yeye aliyefanya mbingu na dunia. Kwa kufanya hii, wanapaswa kutii sheria yake. Bila kutii

hakuna ibada inayoweza kupendeza Mungu. “Kwa maana kupenda Mungu ni kushika amri

zake.” 1 Yoane 5:3; Tazama Mezali 28:9.

Mwito kwa Kuabudu Muumba

Wajibu kwa kuabudu Mungu unaimarishwa juu ya kweli kwamba yeye ni Muumba.

“Kujeni, tuabudu na kuinama; Tupige magoti mbele ya Bwana mwenye kutuumba.” Zaburi

95:6; Tazama Zaburi 95:5; Zaburi 100:3; Isaya 40:25,26; 45:18.

Katika Ufunuo 14, watu wameitwa kuabudu Muumba na kushika amri za Mungu.

Mojawapo ya amri hizi inaonyesha kwa Mungu kama Muumba: “Siku ya saba ni sabato kwa

Bwana Mungu wako: ... Maana kwa siku sita Bwana akafanya mbingu na inchi, bahari na

vyote vilivyo ndani yake, akapumzika siku ya saba. Kwa hivi Bwana akabariki siku ya sabato

na kuitakasa.” Kutoka 20:10,11. Sabato, Bwana anasema, ni “alama, ... mujue ya kuwa mimi

ni Bwana Mungu wenu.” Ezekieli 20:20. Kama Sabato ingeshikwa kwa wote, mtu angeweza

kuongozwa kwa Muumba kama jambo la kuabudu. Hapo hapangalikuwa kamwe mwabudu

sanamu, asiyesadiki (Mungu), wala kafiri. Kushika Sabato ni alama ya uaminifu kwa “yeye

aliyefanya mbingu na dunia na bahari na chemchemi za maji.” Ujumbe unaoagiza watu

kuabudu Mungu na kushika amri zake utawaita kwa kipekee muwaite kushika amri ya ine.

Katika tofauti kuwa wale wanaoshika amri za Mungu na imani ya Yesu, malaika wa tatu

anaonyesha kwa kundi lingine: “Mtu akiabudu nyama na sanamu yake, na kupokea chapa

katika kipaji cha uso wake, ao katika mkono wake, yeye atakunywa mvinyo ya gazabu ya

Mungu.” Ufunuo 14:9,10. Ni nini inayokuwa mfano wa nyama, sanamu, chapa?

Unabii ambamo mifano hii inapatikana unaanza kwa Ufunuo 12. Joka yule aliyetafuta

kuharibu Kristo kwa kuzaliwa kwake ilisemwa kuwa Shetani (Ufunuo 12:9); akavuta Herode

kuua Mwokozi. Lakini mjumbe wa Shetani katika kufanya vita juu ya Kristo na watu wake

kwa karne za kwanza ilikuwa ufalme wa Roma, ambamo upagani ulikuwa ni dini iliyoshinda.

Kwa hiyo joka ni, kwa namna ya pili, mfano wa Roma ya kipagani.

Katika Ufunuo 13 ni nyama mwingine, “mfano wa chui,” ambaye joka akamupa “nguvu

zake, na kiti chake cha ufalme na mamlaka nyingi.” Mfano huu, kama vile Waprostanti wengi

walivyoamini, unakuwa mfano wa dini ya Papa, iliyofuata kwa nguvu (mamlaka) na kiti cha

ufalme na mamlaka iliyoshikwa kuanza na ufalme wa Roma. Juu ya nyama aliyekuwa na

179

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!