12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Lakini Mungu ametoa nuru ya kutosha kuvumbua mtego huo. Msingi kabisa wa imani ya

kuwa kwa roho za watu waliokufa unakuwa kwa vita ikipiganisha Maandiko. Biblia inasema

ya kwamba wafu hawajui kitu, ya kwamba mawazo yao yamepotea; hawana sehemu katika

furaha wala huzuni ya wale wanaokuwa duniani.

Tena zaidi Mungu amekataza maarifa ya hila yamazungumzo na roho za wafu.

“mashetani”. Kama hawa wageni kutoka dunia zingine walikuwa wakiitwa, wanatangazwa

na Biblia kuwa “pepo za mashetani”. Tazama Hesabu 25:1-3; Zaburi 106:28; 1 Wakorinto

10:20; Ufunuo 16:14. Kutendeana pamoja nao kulikatazwa katika azabu ya kufa. Walawi

19:31; 20:27. Lakini imani ya kuwa roho za watu waliokufa (spiritisme) imefanya njia yake

katika jamii za ujuzoi wakweli ikashambulia makanisa, na kupata upendeleo katika majamii

ya wafanya sheria, hata katika majumba ya wafalme. Udanganyifu mkubwa huu ni uamsho

katika hila mpya ya uchawi uliohukumiwa zamani.

Kwa kuonyesha ubaya zaidi wa watu kama katika mbingu, Shetani anasema kwa

ulimwengu: “Si kitu ukiamini wala usipoamini Mungu na Biblia, uishi kama unanvyopenda;

mbingu ni makao yako”. Neno la Mungu linasema: “Ole wao wanaoita uovu mema, na

wanaita mema uovu; wanaoweka giza kwa nuru, na nuru giza.” Isaya 5:20.

Biblia llifananishwa kama Habari za Uwongo

Mitume, wanafananishwa na pepo za uwongo, wanafanywa, kwa kukanusha mambo

waliyoandika wakati walipokuwa kwa dunia. Shetani anafanya ulimwengu kuamini ya

kwamba Biblia ni habari za uwongo, kitabu kilichopendeza kwa utoto wa taifa, lakini, sasa

kuzaniwa kama kisiuchofaa. Kitabu kinachopaswa kumuhukumu yeye na wafuasi wake

anakiweka katika kivuli; Mwokozi wa ulimwengu anamfanya kuwa kama mtu yo yote. Na

waaminifu katika mifano ya kiroho wanajaribu kufanya kuonekana kwamba hakuna kitu cha

muujiza katika maisha ya Mwokozi wetu. Miujiza yao wenyewe, inatangaza, kwa mbali zaidi

kazi za Kristo.

Imani ya kuwa roho za watu waliokufa (spiritisme) inajitwalia sasa umbo la Kikristo.

Lakini mafundisho yake hayawezi kukanushwa wala kufichwa. Katika mfano wake wa sasa

unakuwa ya hatari zaidi, wa hila, udanganyifu. Inajidai sasa kukubali Kristo na Biblia. Lakini

Biblia inafasiriwa kwa namna ya kupendeza kwa moyo mpya. Mapendo inakuwako kama sifa

bora ya Mungu, lakini inaaibishwa kwa tamaa zaifu kufanya tofauti ndogo kati ya uzuri na

ubaya. Mashitaki ya Mungu ya zambi, matakwa ya sheria yake takatifu yanachungwa mbali

na kuonekana kwa macho. Mifano inaongoza watu kukataa Biblia kama msingi wa imani yao.

Kristo anakaniwa kama mbele, lakini udanganyifu hautambuliwe.

Wachache wanakuwa na wazo la haki la uwezo wa kudanganwa wa imani ya kuwa na

roho za watu waliokufa (spiritisme). Wengi wanavuta vibaya nao kwa kupendeza tu

uchunguzi. Wangejazwa na hofu kuu kwa wazo la kujitoa kwa utawala wa pepo. Lakini

wanajitayarisha kwa kiwanja kilichokatazwa, na mharibu wautumia uwezo wake, na

226

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!