12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

kuchomwa kwa uwezo wake wenye uzima, ambao ulisimama imara na kupinga watu wa

elimu na usemaji.

Waadventiste waliamini kwamba Mungu aliwaongoza kutoa onyo la hukumu.

Wakatangaza, “limechunguza mioyo ya wote waliolisikia, ... ili wale watakaochunguza

mioyo yao wenyewe, waweze kujua upande gani ... wangepatikana, kama Bwana angefika

sasa wangepaza sauti, `Huyu ndiye Mungu wetu, Tumemungoja, naye atatuokoa;’ ao

wangeita miamba na milima kuanguka juu yao kuwaficha mbele ya uso wake yeye anayeketi

juu ya kiti cha enzi!

Mawazo ya wale walioendelea kuamini kwamba Mungu aliongoza yanaelezwa katika

maneno ya William Miller: “Tumaini langu katika kuja kwa Kristo ni la nguvu kwa daima,

nimefanya tu, baada ya miaka ya uangalifu, kila nilichoona wajibu wangu kufanya.” “Maelfu

mengi, kwa mfano wote wa kibinadamu, walifanywa kwa kujifunza Maandiko katika

mahubiri ya wakati; na kwa njia ile, katika imani na kumwangiwa kwa damu ya Kristo,

wamepatanishwa kwa Mungu.”

Imani Inaimarishwa

Roho ya Mungu ilikuwa ingali inakaa kwa wale ambao hawakukataa nuru kwa wepesi

waliopokea na kulaumu ujumbe wa kurudi kwa Yesu “Basi, msitupe mbali matumaini yenu,

kwa maana yana zawadi kubwa. Kwa sababu munahitaji uvumilivu, ili mukikwisha kufanya

mapenzi ya Mungu, mupate ile ahadi. Kwa kuwa bado kidogo sana, Yeye anayekuja atakuja,

wala hatakawia. Lakini mwenye haki ataishi kwa imani: Naye kama akirudi nyuma, roho

yangu haina furaha naye. Lakini sisi si watu wa kurudi nyuma kwa kupotea, lakini sisi ni

pamoja nao walio na imani ya kuokoa roho zetu.” Waebrania 10:35-39.

Onyo la upole hili linaambiwa kwa kanisa katika siku za mwisho. Linaonyeshwa kwa wazi

kwamba Bwana angetokea kwa kukawia. Watu hapa walioambiwa walifanya mapenzi ya

Mungu katika kufuata uongozi wa Roho yake na Neno lake; lakini hawakuweza kufahamu

kusudi lake katika maisha yao. Walijaribiwa kwa mashaka kwamba Mungu alikuwa

akiwaongoza kwa kweli. Kwa wakati huu maneno yalikuwa ya kufaa: “Sasa mwenye haki

ataishi kwa imani.” Wakainama kwa matumaini ya kukata tamaa, wangaliweza kusimama tu

kwa imani katika Mungu na kwa Neno lake. Kwa kukana imani yao na kukana uwezo wa

Roho Mtakatifu ambaye alitumikia katika ujumbe ingekuwa kurudi nyuma kwa uharibifu.

Maendeleo yao tu ya salama ilikuwa nuru waliokwisha kupokea kwa Mungu, kuendelea

kuchunguza Maandiko, na kungoja kwa uvumilivu na kukesha kwa kupokea nuru zaidi.

166

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!