12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Makanisa ya Kiprotestanti yale yaliyofuata katika hatua za Roma yameonyesha mapenzi

ya namna moja kwa kuzuia uhuru wa zamiri. Mfano ni mateso yaliyoendelea wakati mrefu

ya wale wasiokubali mafundisho ya Kanisa la Kiingereza. Wakati wa karne za kumi na sita

na kumi na saba, wachungaji na watu wasiokubali kanuni za kanisa walikuwa watu wakulipa

feza ya azabu, kufungwa, mateso (azabu kali), na mauti ya mfia dini.

Uasi ukaongoza kanisa la mwanzoni kutafuta usaada wa serkali ya raia. Na jambo hili

likatayarisha njia kwa Kanisa la Roma (Papa)--mnyama. Paulo akasema: “ila maasi yale

yafike mbele, na mtu yule wa kuasi akafunuliwa.” 2 Watesalonika 2:3.

Biblia inatangaza: “Siku za mwisho zitakuwa nyakati za hatari. Kwa sababu watu

watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda feza, wenye kujisifu, wenye kiburi,

wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na kushukuru, wasio safi, wasiopenda wenzao,

wasiotaka kusamehe, washitaki wa uwongo, wasiojizuiza, wakali, wasiopenda mema,

wadanganyifu, wakaidi, wenye kujivuna, wenye kupenda anasa kuliko Mungu; wenye mfano

wa kuogopa Mungu, lakini wakikana nguvu zake.” 2 Timoteo 3:1-5. “Basi, Roho anasema

waziwazi ya kwamba katika nyakati za mwisho watu wengine watajitenga na imani,

wakisikiliza roho za kudanganya, na mafundisho ya mashetani.” 1 Timoteo 4:1.

Wote wale “hawakupokea mapendo wa kweli, kwamba wapate kuokolewa,” watakubali

“nguvu ya upotevu, hata waamini uwongo.” 2 Watesalonika 2:10,11. Wakati hali hii

itakapofikiwa, matokeo ya namna moja yatafuata ilivyokuwa katika karne za kwanza.

Tofauti kubwa ya imani katika makanisa ya Waprotestanti inazaniwa na wengi kama

utibitizo kwamba hakuna umoja uliolazimishwa unaoweza kufanywa. Lakini pale kumekuwa

kwa miaka nyingi katika makanisa ya Waprotestanti nia iliyoongezeka katika upendeleo wa

umoja. Kwa kulinda umoja kama huo, mazungumzo ya mambo ambayo wote

hawakuyakubali yanapaswa kuachwa kudaiwa. Katika bidii ya kulinda umoja kamili, itakuwa

tu ni hatua kwa kutumia nguvu.

Wakati makanisa maalum ya Amerika, yanapoungana juu ya mambo kama yale ya

mafundisho kama inavyoshikwa kwao katika umoja, yatavuta serkali kulazimisha amri zao

na kuimarisha sheria zao, ndipo Amerika ya Kiprotestanti itakapofanya sanamu ya serkali ya

Kanisa la Roma, na azabu ya malipo ya raia juu ya wale wasiokubali mafundisho ya kanisa

bila mashaka yatakuwa matokeo.

Mnyama na Sanamu Yake

Mnyama aliyekuwa na pembe mbili “naye anawafanya wote, wadogo na wakubwa, na

matajiri na masikini na wahuru na wafungwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, ao

katika vipaji vya nyuso zao; na kwamba mtu asiweze kununua wala kuuza asipokuwa na

chapa ile, ao jina la mnyama yule, ao hesabu ya jina lake.” Ufunuo 13:16,17. Malaika wa tatu

anaonya: “Mtu akiabudu mnyama na sanamu yake, na kupokea chapa katika kipaji cha uso

wake, ao katika mkono wake, yeye atakunywa mvinyo ya gazabu ya Mungu.”

182

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!