12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

kwa umoja katika kazi munamo mwaka 1844 wangepokea ujumbe wa malaika wa tatu na

kuutangaza katika uwezo wa Roho Mtakatifu, miaka iliyopita ulimwengu ungekuwa

umekwisha kuonywa na Kristo angekuwa amekwisha kuja kwa ajili ya ukombozi wa watu

wake.

Si Mapenzi ya Mungu

Haikuwa mapenzi ya Mungu kwamba Israeli azunguke zunguke miaka makumi ine

jangwani; alitamani kuwaongoza mara moja kwa Kanana na kuwaimarisha kule, watu

watakatifu na wafuraha. Lakini “hawakuweza kuingia kwa sababu ya kutokuamini kwao.”

Waebrania 3:19. Ni namna ileile, haikuwa mapenzi ya Mungu kwamba kuja kwa Kristo

kupate kuchelewa wakati mrefu na watu wake wadumu miaka mingi sana duniani hii ya zambi

na huzuni. Kutoamini kukawatenga kwa Mungu. Katika rehema kwa ulimwengu, Yesu

akakawisha kuja kwake, ili wenye zambi wasikie onyo na kupata kimbilio kabla ya hasira ya

Mungu kumiminika.

Sasa kama katika vizazi vya kwanza, kutangazwa kwa ukweli kutaamsha upinzani. Wengi

kwa kijicho wanashambulia tabia na makusudi ya wale wanaosimama katika kutetea ukweli

usiopendwa na wengi. Elia alitangazwa kuwa mwenye kuleta taabu katika Israeli. Yeremia

msaliti, Paulo mwenye kuchafua hekalu. Tangu siku ile hata leo, wale ambao wangekuwa

waaminifu kwa kweli wameshitakiwa kuwa kama wafitini, wajushi, ao wenye kutengana.

Kukiri kwa imani kulikofanywa na watakatifu na wafia dini, mifano hiyo ya utakatifu

ukamilifu imara, kunatia moyo ndani ya wale wanaoitwa sasa kusimama kama washahidi kwa

ajili ya Mungu. Kwa mtumishi wa Mungu kwa wakati huu kunaagizo linalosema: “Paza sauti

yako kama baragumu, uhubiri watu wangu kosa lao, na nyumba ya Yakobo zambi zao.”

“Nimekuweka kuwa mlinzi kwa nyumba ya Israeli; kwa hivi sikia neno kwa kinywa changu,

na uwape maonyo toka kwangu.” Isaya 58:1; Ezekieli 33:7.

Kizuizi kikubwa kwa kukubali kweli ni kwamba inahusika na taabu na laumu. Hii ni

mabishano tu kinyume cha ukweli ambayo wateteaji wake hawakuweza kamwe kupinga.

Lakini wafuasi wa kweli wa Kristo hawangojei ukweli kukubaliwa na watu wengi.

Wanakubali msalaba, pamoja na Paulo kuhesabu kwamba “Mateso yetu mepesi yaliyo kwa

dakika tu, yanatufanyia utukufu wa milele unaouzito mwingi”; pamoja na mmoja wa zamani,

“akihesabu ya kuwa kulaumiwa kwa Kristo ni utajiri mwingi kuliko hazina za Misri.” 2

Wakorinto 4:17; Waebrania 11:26.

Inatupasa kuchagua haki kwa sababu inakuwa haki, na kuacha matokeo kwa Mungu. Kwa

watu wa kanuni, imani na uhodari, dunia inakuwa na deni kwa ajili ya matengenezo yake

makubwa. Kwa watu wa namna ile kazi ya matengenezo kwa wakati huu inapashwa

kuendelea mbele.

188

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!