12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Akashangazwa na namna unabii ulitimilika kwa uaminifu. Hapa palikuwa na ushuhuda kwa

maongozi ya Maandiko. Hakuweza kudumu kutoshelewa na akili za kibinadamu, na katika

kujifunza Biblia akaongozwa kwa imani ya hakika.

Akafikia kwa imani kwamba kuja kwa Bwana kulikuwa karibu. Alipovutwa na umuhimu

wa ukweli huu, akakusudia kuupeleka mbele ya watu. Lakini imani ya watu wengi kwamba

mambo ya unabii wa Danieli hayawezi kufahamika ilikuwa kizuizi kikubwa. Mwishowe

akakusudia--kama vile Farel alivyofanya mbele yake katika kuhubiri Genève--kwa kuanza na

watoto, kwa njia yao akatumainia kuwa wazazi watavutwa. Akasema, “Nikusanya

wasikilizaji watoto; kama kundi linaongezeka kuwa, kubwa, kama likionekana kwamba

wanasikiliza, wanapendezwa, wanakuwa na usikizi, kwamba wanafahamu na kueleza

fundisho, nina hakika kuwa na kundi la pili karibu, na wao, watu wakubwa wataona kwamba

ni faida yao kukaa na kujifunza. Wakati jambo hili linapotendeka, ushindi utapatikana.”

Alipokuwa akisema na watoto, watu wakubwa wakaja kusikiliza. Vyumba vya kanisa lake

vikajaa na wasikilizaji, watu wa heshima na wenye elimu, na wageni wa inchi zingine

wakazuru Geneve. Kwa hivyo ujumbe ukapelekwa kwa sehemu zingine.

Alipotiwa moyo, Gaussen akatangaza mafundisho yake na matumaini ya kuanzisha

mafundisho ya vitabu vya unabii. Baadaye akawa mwalimu katika chuo cha elimu ya tabia na

sifa za Mungu na dini, akiendelea kwa siku ya juma pili na kazi yake kama mwalimu wa

katikisimu, kusema kwa watoto na kuwafundisha katika Maandiko. Kwa kiti cha mwalimu,

kwa njia ya vitabu (chapa) na kama mwalimu wa watoto, yeye kwa miaka mingi alikuwa

chombo katika kuita uangalifu wa wengi kwa mambo ya unabii ambayo yalionyesha kwamba

kuja kwa Bwana kulikuwa karibu.

Wahubiri Watoto wa Skandinavie

Katika Skandinavie vilevile ujumbe wa kurudi kwa Yesu alitangazwa. Wengi

wakasimama kutubu na kuacha zambi zao na kutafuta rehema katika jina la Kristo. Lakini

padri wa kanisa la mahali pale akapinga mabadiliko, na wengine waliohubiri ujumbe

wakatupwa gerezani. Mahali pengi ambapo wahubiri wa kuja kwa Bwana kwa karibu

walinyamazishwa, Mungu akapendezwa kutuma ujumbe kwa njia ya watoto wadogo. Kama

vile walikuwa chini ya umri wa maisha ya mtu mzima, serkali haikuweza kuwafunga, na

wakaruhusiwa kusema bila kusumbuliwa.

Katika makao yake ya umasikini watu wakakusanyika kusikia maonyo. Wahubiri wengine

watoto hawakuwa zaidi ya umri wa miaka sita ao mnane; ijapo maisha yao yalishuhudia

kwamba walimpenda Mwokozi, wakaonyesha tu kwa kawaida akili na uwezo

vinavyoonekana katika watoto wa umri ule. Wakati waliposimama mbele ya watu, lakini,

walibadilishwa na mvuto mbali ya zawadi zao za kawaida. Sauti na tabia vikageuka, na

pamoja na uwezo mkubwa wakatoa maonyo ya hukumu, “Ogopeni Mungu, na kumutukuza

kwa maana saa ya hukumu yake imekuja.”

148

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!