12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 3. Giza la Kiroyo Katika

Mtume Paulo alisema kwamba siku ya Kristo haingepaswa kuja “ila maasi yale yafike

mbele, na mtu yule wa kuasi akafunuliwe, mwana wa uharibifu, yeye mpinzani na

kujionyesha mwenyewe juu ya yote yanayoitwa Mungu ao kuabudiwa, hata kuketi ndani ya

hekalu la Mungu akijionyesha mwenyewe kama yeye ndiye Mungu”. Na zaidi, “Maana siri

ya uasi hata sasa inatenda kazi”. 2 Watesalonika 2:3,4,7. Hata kwa tarehe ile ya mwanzo

mtume aliona, makosa kuingia kimya polepole, yale yangetayarisha njia kwa ajili ya Kanisa

la Kipapa.

Pole pole, “siri ya uasi” ikaendesha kazi yake ya Kudanganya. Desturi za kipagani

zikapata njia zao katika kanisa la Kikristo, zilipozuiwa wakati wa mateso makali chini ya

upagani; lakini wakati mateso yalipokoma, ukristo ukaweka kando unyenyekevu wa Kristo

kwa ajili ya fahari ya mapadri wa kipagani na watawala. Kugeuka kwa jina tu kwa Constantini

ukaleta furaha kubwa. Sasa kazi ya maovu ikaendelea kwa upesi. Upagani, ulionekana

kushindwa kabisa.. Mafundisho yake na mambo ya uchawi yakaingia katika imani ya

waliojidai kuwa wafuasi wa Kristo.

Mapatano haya kati ya upagani na ukristo yakatokea katika “mutu wa zambi”

aliyetabiriwa katika unabii. Dini ile ya uwongo kazi bora ya Shetani, juhudi yake kwa kukaa

mwenyewe juu ya kiti cha ufalme kwa kutawala dunia kufuatana na mapenzi yake.

Ni mojawapo ya mafundisho ya Kiroma ya msingi kwamba Papa amepewa mamlaka kuu

juu ya maaskofu na wachungaji (pasteurs) katika ulimwengu wote. Zaidi ya jambo hili

ameitwa “Bwana Mungu Papa” na ametangaziwa kuwa asiyeweza kukosa. (Tazama Mwisho

wa Kitabu (Nyongezo)) Madai ya namna moja yallazimishwa na Shetani katika jangwa la

majaribu yangali yakiendeshwa naye kati ya Kanisa la Kirumi, na hesabu kubwa wanamtolea

heshima kubwa.

Lakini wale wanaoheshimu Mungu wanapigana majivuno haya kama vile Kristo

alipambana na adui mwerevu: “Utaabudu Bwana Mungu wako,yeye peke utamutumikia”.

Luka 4:8. Mungu hakuagiza kamwe mtu ye yote kuwa kichwa cha kanisa. Utawala wa kipapa

unakuwa kinyume kabisa na Maandiko. Papa hawezi kuwa na mamlaka juu ya Kanisa la

Kristo isipokuwa kwa njia ya kunyanganya. Warumi huleta juu ya Waprotestanti madai ya

kwamba kwa mapenzi yao walijitenga kwa kanisa la kweli. Lakini ni wao waliacha “imani

waliyopewa watakatifu mara moja tu”. Yuda 3.

Shetani alijua vizuri kwamba ilikuwa kwa Maandiko matakatifu ambayo Mwokozi

alishindana na mashambulio yake. Kwa kila shambulio, Kristo alionyesha ngabo ya kweli ya

milele, kusema, “Imeandikwa”. Kwa kudumisha uwezo wa utawala wake juu ya watu na

kuanzisha mamlaka ya Papa munyanganyi, anapaswa kuendelea kufunga, watu katika kutojua

Maandiko matakatifu. Mambo ya kweli matakatifu yake yalipaswa kufichwa na komeshwa.

Kwa mda wa miaka mamia ya uenezaji wa Biblia ulikatazwa na Kanisa la Roma. Watu

16

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!