12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

aliyebaki ndani ya Yerusalema, ataitwa mtakatifu, kila mmoja aliyeandikwa katika wale walio

hai ndani ya Yerusalema.” Yeremia 31:34; 50:20; Isaya 4:3.

Kufutia Mbali kwa Zambi

Kazi ya hukumu ya uchunguzi na kufutia mbali zambi inapashwa kutimizwa mbele ya

kuja kwa Bwana mara ya pili. Katika huduma ya mfano kuhani mkuu alitoka inje na kubariki

makutano. Vivyo hivyo Kristo, kwa mwisho wa kazi yake kama mpatanishi, ataonekana” si

tena kwa zambi, lakini kwa wokovu.” Waebrania 9:28.

Kuhani, katika kuondoa zambi kutoka Pahali patakatifu, aliziungama juu ya kichwa mbuzi

wa Azazeli. Kristo ataweka zambi hizi zote juu ya Shetani, mshawishi wa zambi. Mbuzi wa

Azazeli akapelekwa mbali “katika inchi isiyo na watu.” Walawi 16:22. Shetani, katika

kuchukua hatia za zambi alizolazimisha watu wa Mungu kuzifanya, atafungwa miaka elfu

katika inchi isiyokaliwa kama jangwa na mwishoni atateswa kwa azabu ya moto

utakaoangamiza waovu. Kwa hivi mpango wa wokovu utafikia utimilifu wake katika kungoa

kwa mwisho kwa zambi.

Kwa Wakati Uliotajwa

Kwa wakati uliotajwa--mwisho wa siku 2300 katika 1844--kazi ya uchunguzi ikaanza na

kufutiwa mbali kwa zambi. Zambi zisizoungamwa na kuachwa hazitafutwa kutoka vitabu vya

ukumbusho. Malaika wa Mungu wakashuhudia kila zambi na kuiandika. Zambi inaweza

kukanwa, kufichwa kwa Baba, mama, bibi, watoto, na kwa rafiki; lakini inawekwa wazi

mbele ya mbingu. Mungu hadanganywe kwa matendo yanayoonekana. Hafanyi makosa.

Watu wanaweza kudanganywa kwa wale wanaochafuka ndani ya moyo, lakini Mungu

anasoma maisha ya ndani.

Ni wazo la kutisha namna gani! Mshindi mkubwa kupita duniani hawezi kurudisha

ukumbusho wa matendo ya siku hata moja. Matendo yetu, maneno yetu, hata makusudi yetu

ya siri, ijapo tukiyasahau, yatatoa ushuhuda wake kwa kuhesabiwa haki wala kuhukumiwa.

Katika hukumu matumizi ya kila kipaji yatachunguzwa. Namna gani tumetumia wakati

wetu, kalamu yetu ya wino, sauti yetu, mali yetu, mvuto wetu? Tumefanya nini kwa Kristo

katika nafsi ya maskini, wenye kuteswa, yatima, ao mjane? Tumefanya nini na nuru pia na

kweli tuliyopewa? Ila tu upendo ulioonyeshwa kwa matendo unaohesabiwa kuwa wa kweli.

Upendo peke yake mbele ya Mungu wa mbinguni haufanye tendo lo lote la damani.

Choyo lliyofichwa Imefunuliwa

Mambo yote ya ukaidi wa choyo iliyofichwa yamefunuliwa katika vitabu vya mbinguni.

Mara ngapi wakati, mawazo, na nguvu zinazokuwa za Kristo zilitolewa kwa Shetani. Wafuasi

wa Kristo wanashughulika katika upataji wa mali ya kidunia ao furaha ya anasa ya

ulimwengu. Mali, wakati, na nguvu zinatumiwa kwa maonyesho na anasa; nyakati za bidii

kwa kuomba ni chache, kwa kutafuta Maandiko, kuungama zambi.

199

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!