12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Hivi ndivyo itakavyofanywa mwisho wa zambi. “Umeharibu waovu, Umefuta jina lao

kwa milele na milele. Adui wamekoma, wameachwa ukiwa kwa milele.” Zaburi 9:5,6. Yoane

katika Ufunuo anasikia wimbo wa furaha wa sifa usiochafuliwa na sauti hata moja ya

kutopatana. Hakuna nafsi za watu zinazotukana Mungu wakati wanapojinyonga katika

maumivu mabaya isiyokuwa na mwisho kamwe. Hakuna viumbe vya taabu katika jehanum

watakaochanganyisha na yawe yao ya nguvu pamoja na nyimbo za waliookolewa.

Juu ya kosa kuhusu maisha ya milele ya asili kunabaki mafundisho ya ufahamu katika

mauti. Kulingana na maumivu mabaya ya milele, ni kinyume kwa Maandiko, kwa akili, na

kwa mawazo yetu ya kibinadamu. Kufuatana na imani ya watu wengi, waliokombolewa

katika mbingu wanafahamu yote yanayofanyika duniani. Lakini namna gani ingekuwa na

furaha kwa wafu kujua mateso ya walio hai, kuwaona wakiendelea na huzuni, uchungu, na

maumivu makuu ya maisha? Na ni chukizo la namna gani kuamini ya kama mara pumzi

inapotoka mwilini nafsi ya roho isiyotubu inawekwa kwa ndimi za jehanum!

Maandiko yanasema nini? Mtu hana ufahamu katika mauti: “Pumuzi yake inatoka,

anarudia udongoni; siku ileile mafikiri yake yanapotea.” “Maana walio hai wanajua ya

kwamba watakufa: lakini wafu hawajui kitu, ... Mapendo yao na kuchukia kwao na wivu wao

umepotea; wala hawana sehemu tena milele katika neno lo lote linalofanyika chini ya jua.’‘

“Kwa kuwa Hadeze haiwezi kukusifu, wala kufa hakuwezi kukutukuza; wale wenye kushuka

kwa shimo hawawezi kutarajia kweli yako. Mwenye uhai, mwenye uhai, ndiye atakayekusifu,

kama mimi leo.” “Maana katika mauti hapana ukumbusho juu yako, Katika Hadeze nani

atakayekupa asante?” Zaburi 146:4; Muhubiri 9:5,6; Isaya 38:18, 19 ; Zaburi 6:5.

Petro siku ya Pentekote akatangaza ya kwamba Dawidi “alikufa, akazikwa, na kaburi lake

ni kwetu hata leo.” “Maana Dawidi hakupanda katika mbingu.” Matendo 2:29,34. Neno ya

kwamba Dawidi akingali katika kaburi hata ufufuo linaonyesha kwamba wenye haki

hawaende mbinguni wanapokufa.

Akasema Paulo: “Maana kama wafu hawafufuliwi, basi Kristo hakufufuliwa: na kama

Kristo hakufufuliwa, imani yenu ni bure; mungali katika zambi zenu. Basi wao waliolala

katika Kristo wamepotea.” 1 Wakorinto 15:16-18. Kama kwa miaka 4000 wenye haki

walikwenda mara moja katika mbingu wakati wa kifo, namna gani Paulo amesema ya

kwamba kama hakuna ufufuo, “na wao waliolala katika Kristo wamepotea”?

Wakati alipokuwa karibu kuacha wanafunzi wake, Yesu hakuwambia ya kwamba

wangekuja mara moja kwake: “Ninakwenda kuwatengenezea ninyi pahali,” Akasema “Na

kama ninakwenda kuwatengenezea ninyi pahali, nitakuja tena, na nitawakaribisha ninyi

kwangu.” Yoane 14:2,3. Paulo anatwambia zaidi ya kwamba “Bwana mwenyewe atashuka

toka mbinguni, na sauti kubwa, na sauti ya malaika mukubwa, na pamoja na baragumu ya

Mungu: Nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza; kisha sisi tulio hai, tuliobaki,

tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, kukutana na Bwana katika hewa, na hivi tutakuwa

pamoja na Bwana milele. Na anaongeza: “Basi mufarijiane kwa maneno haya.” 1 Tesalonika

222

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!