12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

milele.” Bwana alitangaza kwamba “hatafanya lolote, lakini anafunulia watumishi wake

manabii siri yake.” Torati 29:29; Amosi 3:7. Wanafunzi wa Neno la Mungu wanaweza

kutazamia kwa hakika kuona mambo makubwa kuliko katika historia ya wanadamu

iliyoonyeshwa kwa wazi katika Maandiko.

“Nilisadikishwa kabisa,” akasema Miller, “kwamba kila andiko lililopewa kwa maongozi

ya Mungu linafaa kwa mafundisho; kwamba liliandikwa; wakati watu watakatifu walikuwa

wakiongozwa na Roho Mtakatifu, yameandikwa kwa majifunzo yetu, kwamba kwa subira na

faraja ya maandiko tuwe na tumaini ... kwa hiyo mimi niliona kwamba katika kujitahidi

kufahamu kile Mungu alikuwa nacho katika huruma zake kinachoonekana kufaa kwa

kufunuliwa kwetu, sikuwa na haki kupita inje ya nyakati za unabii.”

Unabii ambao ulionekana wazi zaidi kwa kufunua wakati wa kuja kwa mara ya pili

ulikuwa Danieli 8:14: “Hata mangaribi na asubui elfu mbili mia tatu; halafu Pahali patakatifu

patasafishwa.” Kufanya Maandiko mfasiri wake mwenyewe, Miller akajifunza kwamba siku

moja katika unabii ni mwaka moja. (Tazama Nyongezo.) Aliona kwamba siku 2300 za unabii,

ao miaka kabisa, ingefikia mbali sana ya mwisho wa mugawo wa Wayahudi, kwa hiyo

haikuweza kutaja juu ya mahali patakatifu pa mugawo ule.

Miller akakubali maelezo ya kawaida kwamba katika miaka ya Kikristo ulimwengu ni

“mahali patakatifu,” na kwa hiyo akafahamu kwamba kusafishwa kwa mahali patakatifu

kulikotabiriwa katika Danieli 8:14 ilikuwa mfano wa kutakaswa kwa dunia na moto kwa kuja

kwa mara ya pili kwa Kristo. Kama mahali kamili pa kuanzia pangeweza kupatikana kwa ajili

ya siku 2300, akamaliza kwamba wakati wa kuja kwa mara ya pili ungeweza kufunuliwa.

129

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!