12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

juu ya kichwa cha mbuzi wa Azazeli, yeye katika mufano akahamisha zambi hizi zote kutoka

kwake mwenyewe hata kwa mbuzi. Ndipo mbuzi akazichukua mbali, na ziliangaliwa kwamba

zilitengwa milele kutoka kwa watu.

Uhakika wa Mbinguni

Kitu kilichotendwa katika mufano wa huduma ya Pahali patakatifu pa kidunia, inatendwa

katika ukweli katika Pahali patakatifu pa mbinguni. Baada ya kupanda kwake mbinguni

Mwokozi wetu akaanza kazi yake kama kuhani mkuu wetu: ” Kwa sababu Kristo hakuingia

katika Pahali patakatifu palipofanywa kwa mikono, ndio mufano wa kweli, lakini aliingia

mbinguni zenyewe, aonekane sasa mbele ya Mungu kwa ajili yetu.” Waebrania 9:24.

Utumishi wa kuhani katika chumba cha kwanza, “ndani ya pazia” inayotenga Pahali

patakatifu pa patakatifu kwa behewa (uwanja) ya inje, ni mufano wa kazi ambayo Kristo

alianza kisha wakati alipo panda mbinguni. Kuhani katika utumishi wa kila siku akaonyesha

mbele ya Mungu damu ya sadaka ya zambi, vilevile uvumba ambao unapanda pamoja na

maombi ya wa Israeli. Kwa hivyo Kristo anaombea damu yake mbele ya Baba kwa ajili ya

wenye zambi na anaonyesha mbele yake, pamoja na manukato ya haki yake mwenyewe,

maombi ya waamini waliotubu. Hiyo ndiyo iliyokuwa huduma katika chumba cha kwanza

cha Pahali patakatifu katika mbingu.

Huko imani ya wanafunzi wa Kristo wakamfuata wakati alipokuwa akipanda. Hapa

matumaini yao yalikuwa, “tumaini gani tuliyo nayo kama nanga ya roho, yote mbili kweli na

kuwa imara, na inayoingia ndani ya pazia, pahali alipoingia Yesu kwa ajili yetu, mutangulizi

wetu, amekuwa kuhani mkubwa kwa milele.” “Kwa damu yake mwenyewe aliingia mara

moja tu katika Pahali patakatifu alikwisha kupata ukombozi wa milele kwa ajili yetu.”

Waebrania 6:19,20; 9:12.

Kwa mda wa karne ya kumi na mnane kazi hii ikaendelea katika chumba cha kwanza cha

Pahali patakatifu. Damu ya Kristo ikahakikisha rehema na ukubali wa Baba kwa ajili ya

waamini waliotubu, lakini zambi zao zingali zikidumu kwa vitabu vya ukumbusho. Kama

katika huduma ya mfano huko kulikuwa na kazi ya upatanisho kwa mwisho wa mwaka, kwa

hivyo kabla ya kazi ya Kristo kwa ajili ya watu kumalizika kunakuwa kazi ya upatanisho kwa

ajili ya ondoleo la zambi kwa Pahali patakatifu. Kazi hii ilianza wakati siku 2300

zilipokwisha. Kwa wakati ule Kuhani wetu Mkubwa akaingia Pahali patakatifu pa patakatifu

kwa kusafisha Pahali patakatifu.

Kazi ya Hukumu

Katika agano jipya zambi za mwenye kutubu zinawekwa kwa imani juu ya Kristo na

kuhamishwa kweli kwa Pahali patakatifu pa mbinguni. Na kama kusafishwa kwa mfano kwa

Pahali patakatifu pa kudunia kulifanywa na ondoleo la zambi ambazo zilipachafua, vivyo

hivyo utakaso wa sasa wa mbinguni unatimizwa kwa ondoleo, ao kufutwa, kwa zambi

zilizoandikwa pale. Lakini kabla ya jambo hili kuweza kufanyika uchunguzi unapashwa

172

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!