12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

walioinama mbele yake kwa kutoa heshima ya kumzihaki, waliomtemea mate Mfalme wa

uzima. Wanatafuta kukimbia mbele ya uso wake. Wale waliopigilia misumari kwa mikono

yake na miguu wanatazama alama hizi kwa hofu na majuto.

Kwa hofu ya wazi wazi makuhani na watawala wanakumbuka matukio ya Kalvari, namna

gani, walipotikisa vichwa vyao katika shangwe ya uovu wa Shetani, wakapaaza sauti,

“Aliokoa wengine; hawezi kujiokoa yeye mwenyewe”. Matayo 27:42. Kwa sauti kubwa

kuliko kelele, “Asulibiwe, asulibiwe”! ambayo ikavuma katika Yerusalema, inaongeza

maombolezo ya kukata tamaa, ‘’Yeye ni Mwana wa Mungu”! Wanatafuta kukimbia mbele

ya uso wa Mfalme wa wafalme.

Katika maisha ya wote wanaokataa kweli kunakuwa na nyakati ambapo zamiri inaamka,

wakati nafsi inaposumbuliwa na masikitiko ya bure. Lakini mambo haya ni nini kulinganisha

na majuto ya siku ile! Katikati ya hofu kuu yao wanasikia watakatifu kupaaza sauti: “Tazama,

huyu ndiye Mungu wetu, Tuliyemungoja, naye atatuokoa”. Isaya 25:9.

Sauti ya Mwana wa Mungu inaita kwa kuamsha watakatifu wanaolala. Po pote duniani

wafu watasikia sauti ile, na wale wanaoisikia wataishi, jeshi kubwa la kila taifa, na kabila na

lugha na jamaa. Kutoka kwa nyumba ya gereza ya wafu wanakuja, wanapovikwa utukufu wa

milele, kupaaza sauti: “Ee mauti, kushinda kwako ni wapi? Ee mauti, uchungu wako ni wapi”?

1 Wakorinto 15:55.

Wote wanaamka kutoka makaburini wakiwa kwa hali ileile waliyopoingia nayo kaburini.

Lakini wote wanafufuka pamoja na upya na nguvu za ujana wa milele. Kristo alikuja

kurudisha na kuponya kile kilichopotea. Atabadilisha miili yetu ya unyonge na kuzifanya

kama wake mwili mtukufu. Mwili wa mauti na wa kuharibika, mara moja unaoharibika na

zambi, unakuwa sasa kamilifu, mzuri na wa kuishi milele. Madoo na ulema vimebaki ndani

ya kaburi. Waliokombolewa “watakua” (Malaki 4:2) kwa kimo kamili cha uzao katika

utukufu wake wa kizazi cha kwanza, alama za mwisho za laana za zambi zimeondolewa.

Waaminifu wa Kristo wataonyesha mfano kamili wa Bwana wao katika roho na nafsi na

mwili.

Wenye haki walio hai wamebadilika “kwa dakika moja, kwa kufunga na kufungua kwa

jicho”. Kwa sauti ya Mungu wamefanywa watu wa maisha ya milele na pamoja na watakatifu

waliofufuka watachukuliwa juu kumlaki Bwana wao katika mawingu. Malaika “watakusanya

wachaguliwa wake toka pepo ine, toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho mwingine”.

Matayo 24:31. Watoto wadogo wamechukuliwa kwa mikono ya mama zao. Rafiki

walioachana wakati mrefu kwa ajili ya mauti wameunganika, hakuna kuachana tena kamwe,

na pamoja na nyimbo za furaha wanapanda pamoja kwa mji wa Mungu.

Katika Mji Mtakatifu

Po pote kwa jeshi lisilohesabika la waliokombolewa kila jicho limekazwa kwa Yesu. Kila

jicho linatazama utukufu wake ambaye “uso wake ulikuwa umeharibiwa sana zaidi ya mtu ye

262

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!