12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

wanamlio wa huzuni makundi ya mifungo yanafzaika, sababu nawana malisho.... Maji ya

mito yamekauka, na moto umekula malisho ya jangwa”. Joel 1:11,12, 18-20.

Mapigo haya si ya mahali pote, lakini yatakuwa mapigo ya kutisha zaidi isiyofahamika

kamwe. Hukumu zote zilizotangulia kufungwa kwa rehema zilikuwa zikichanganyika na

rehema. Damu ya Kristo imelinda mwenye zambi kwa kiasi kamili cha kosa lake; lakini kwa

hukumu ya mwisho, hasira si ya kuchanganywa na rehema. Wengi watatamani ulinzi wa

rehema ya Mungu ambayo walikuwa wakiizarau.

Wakati wanapoteseka na kusumbuliwa, wakati wanapoteseka na njaa, watu wa Mungu

hawataachwa kuangamizwa. Malaika watawatolea mahitaji yao. “Atapewa chakula chake;

maji yake hayatakosekana”. “Mimi, Bwana, nitawasikia, mimi, Mungu wa Israeli,

sitawaacha”. Isaya 33:16; 41:17.

Lakini kwa maonyo ya kibinadamu itaonekana ya kwamba watu wa Mungu wangepashwa

upesi kutia muhuri kwa ushuhuda wao kwa damu yao, kama walivyofanya wafia dini mbele

yao. Ni wakati wa maumivu makuu ya kutisha. Waovu wameshangilia. “Imani yenu inakuwa

wapi sasa? Sababu gani Mungu hawaokoi kwa mikono yetu kama munakuwa kweli watu

wake”? Lakini wanaongojea wanakumbuka Kristo alipokufa juu ya msalaba wa Kalvari.

Kama Yakobo, wote wanashindana na Mungu.

Makundi ya Malaika Wanalinda

Malaika wanatua kwa wale waliolinda neno la uvumilivu la Kristo. Wameshuhudia shida

yao na wamesikia maombi yao. Wanangojea neno la Mkuu wao kuwanyakua kwa hatari yao.

Lakini wanapashwa kungojea wakati mrefu kidogo. Watu wa Mungu wanapashwa kunywa

kikombe na kubatizwa kwa ubatizo. Matayo 20:20-23. Lakini kwa ajili ya wateule wakati wa

taabu utafupishwa. Mwisho utakuja upesi kuliko watu wanavyotazamia.

Ingawa amri ya kawaida imeweka wakati washika amri wanapoweza kuuawa, adui zao

kwa sababu zingine wataharakisha amri na kujaribu kuondoa maisha yao. Lakini hakuna mtu

anayeweza kupita walinzi waliotua kuzunguka kila nafsi aminifu. Wengine walishambuliwa

wakati wa kukimbia kwao kutoka mijini, lakini panga zilizoinuliwa juu yao zikavunjika kama

majani makavu. Wengine wakalindwa na malaika katika hali ya watu wa vita.

Katika vizazi vyote viumbe vya mbinguni wamekamata sehemu ya juhudi katika mambo

ya watu. Wamekubali kukaribisha na wanadamu, kutenda kama viongozi kwa wasafiri

wajinga, wakafungua milango ya gereza na kuweka huru watumishi wa Bwana. Wakaja

kusukuma jiwe kwa kaburi la Mwokozi.

Malaika wanazuru mikutano ya waovu, kama walivyokwenda Sodomo, kuhakikisha kama

wamepitisha mpaka wa uvumilivu wa Mungu. Bwana, kwa ajili ya wachache wanamtumikia

kwa kweli, anazuia misiba na anazidisha utulivu wa makutano. Wenye zambi wanafahamu

257

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!