12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Mafundisho juu ya kugeuka kwa ulimwengu na utawala wa Kristo wa kiroho

hayakushikwa na kanisa la mitume. Kwa kawaida hayakukubaliwa na Wakristo hata karibu

ya mwanzo wa karne ya kumi na mnane. Ilifundisha watu kutazamia mbali kwa wakati ujao

kuja kwa Bwana na kuwakataza kwangalia ishara za kurudi kwake. Iliongoza watu kutojali

kujitayarisha kwa kumlaki Bwana wao.

Miller akaona kuja kwa Kristo halisi kulikofundishwa wazi katika Maandiko. “Kwa

sababu Bwana mwenyewe atashuka toka mbinguni, na sauti kubwa, na sauti ya malaika

mkubwa, na pamoja na baragumu ya Mungu.” “Nao wataona Mwana wa watu akija katika

mawingu ya mbingu pamoja na uwezo na utukufu mkubwa.” “Kwa maana kama umeme

unavyokuja toka mashariki na unaonekana hata mangaribi; ni hivi kuja kwa Mwana wa watu

kutakavyokuwa.” “Mwana wa watu atakapokuja katika utukufu wake, na malaika yote

pamoja naye.” “Naye atatuma malaika zake na sauti kubwa ya baragumu, nao watakusanya

wachaguliwa wake.” 1 Watesalonika 4:16, 17; Matayo 24:30, 27; 25:31; 24:31.

Kwa kuja kwake wafu wenye haki watafufuka na wenye haki waliohai watabadilika. “Sisi

sote hatutalala, lakini sisi sote tutabadilika, kwa dakika moja, kwa kufunga na kufungua jicho,

kwa baragumu ya mwisho: sababu baragumu italia, na wafu watafufuliwa wasiwe na kuoza,

na tutabadilika. Maana sharti ule mwili wenye kuoza uvae kutokuoza, na huu wa mauti uvae

kutokufa.” “Nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza; kisha sisi tulio hai, tuliobaki,

tutanyanyuliwa pamoja nao katika mawingu, kukutana na Bwana katika hewa, na hivi

tutakuwa pamoja na Bwana milele.” 1 Wakorinto 15:51-53; 1 Watesalonika 4:16, 17.

Mtu katika hali ya sasa ni wa kufa, wakuoza; lakini ufalme wa Mungu utakuwa

wakutokuoza. Kwa hivyo mtu kwa hali yake ya sasa hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu.

Wakati Yesu atakuja, atatoa kutokufa kwa watu wake, na kuwaita kuriti ufalme ambao

hawakuuriti hata sasa.

Maandiko matakatifu na Taratibu ya Miaka

Haya pamoja na maandiko mengine kwa wazi yakamshuhudia Miller kwamba utawala wa

amani wa watu wote na kuimarishwa kwa ufalme wa Mungu duniani ungekuwa baada ya kuja

kwa mara ya pili. Tena, hali ya ulimwengu ililingana na maelezo ya unabii wa siku za mwisho.

Alilazimishwa kwa mwisho kwamba mda uliogawanywa kwa dunia katika hali yake ya sasa

ulikuwa karibu kuisha.

Namna ingine ya ushuhuda ambao kwa nguvu ulichoma moyo wangu.” Akasema,

“ulikuwa utaratibu wa Maandiko... Niliona kwamba mambo yaliyotabiriwa, yalitimilika

katika wakati uliopita, mara kwa mara yalitukia karibu ya wakati uliotolewa... Matokeo ...

yanapokuwa tu mambo ya unabii, ... yalitimia katika upatano wa yale yaliotabiriwa.”

Wakati alipoona nyakati za taratibu ya miaka ambayo ilifikia kwa kuja kwa mara ya pili

kwa Kristo, hangaliweza lakini kuzitazama kama “nyakati zilizoonyeshwa mbele”, ambazo

Mungu alifunulia watumishi wake. “Vitu vile vilivyofunuliwa ni vyetu, na vya wana wetu

128

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!