12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

kuhani, Kristo anakaa sasa pamoja na Baba katika kiti chake cha enzi. Juu ya kiti kile cha

ufalme kunakuwa yeye “aliyechukua taabu zetu; na kubeba huzuni zetu”, ambaye alikuwa

“katika mambo yote alijaribiwa sawa sawa na sisi, lakini pasipo kufanya zambi”, kusudi

aweze kusaidia wale wanaojaribiwa”. Isaya 53:4; Waebrania 4:15; 2:18. Mikono

iliyojeruhiwa, upande uliochomwa mukuki,nya yo ilioharibiwa, vinamtetea mwanadamu

aliye anguka ambaye wokovu wake ulipatikana kwa bei sawa ile.

“Na shauri la salama litakuwa katikati ya wale wawili”. Upendo wa Baba ni chemchemi

ya wokovu kwa ukoo uliopotea. Yesu aliwaambia wafuasi wake, “Baba yeye mwenyewe

anawapenda”. Mungu alikuwa “ndani ya Kristo akipatanisha ulimwengu naye mwenyewe”.

“Mungu alipenda ulimwengu hata kutoa Mwana wake wa pekee”. Yoane 16:27; 2 Wakorinto

5:19; Yoane 3:16.

Siri ya Mahali Patakatifu Inaelezwa

“Hema ya kweli” mbinguni ni Pahali patakatifu pa agano jipya. Wakati wa kifo cha Kristo,

huduma ya kufananisha ilimalizika. Kwa sababu Danieli 8: 14 ilitimilika katika mgawo huu,

Pahali patakatifu ambapo maneno haya yanaelekea ni Pahali patakatifu pa agano jipya. Hivyo,

unabii, huu “Hata mangaribi na asubui ya siku elfu mbili mia tatu, halafu Pahali patakatifu

patasafishwa” unaelekea Pahali patakatifu mbinguni. Lakini kusafishwa kwa pahali patakatifu

maana yake ni nini? Mbinguni kunaweza kuwa kitu cha kusafishwa? Katika Waebrania 9

kusafishwa kwa Pahali patakatifu pa duniani na Pahali patakatifu pa mbinguni vinafundishwa

wazi :

Karibu vitu vyote vinasafishwa kwa damu, na pasipo kumwanga damu hakuna ondoleo.

Basi, mifano ya mambo yaliyo mbinguni ilipashwa kusafishwa hivyo lakini vitu vya

mbinguni yenyewe kwa zabihu nzuri zaidi kuliko hizi” (Waebrania 9:22,33), kwa damu ya

zamani ya Kristo.

Kutakaswa kwa Pahali Patakatifu

Kusafishwa katika huduma ya kweli kunapaswa kufanyika kwa damu ya Kristo. “Pasipo

kumwanga damu hakuna ondoleo. Ondoleo, ao kuondoa Zambi, ndiyo kazi yenye

kutimizwa.”

Lakini inawezekana je, zambi kuambatana na Pahali patakatifu mbinguni? Hii inaweza

kujifunzwa kwa kuangalia huduma ya mfano, kwa maana makuhani duniani walitumika “kwa

mufano na kivuli cha mambo ya mbinguni.” Waebrania 8:5.

Huduma ya patakatifu pa kidunia ilikuwa na sehemu mbili. Makuhani walikuwa

wakihudumia kila siku katika Pahali patakatifu, lakini mara moja kwa mwaka kuhani mkuu

alifanya kazi maalumu ya upatanisho katika Pahali patakatifu pa patakatifu, kwa ajili ya

kusafishwa kwa Pahali patakatifu. Siku kwa siku mwenye zambi anayetubu alileta sadaka

yake na, kuweka mukono wake juu ya kichwa cha kafara, akaungama zambi zake, katika

170

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!