12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Kwa namna Shetani alivyomshitaki Yakobo, ataendelea na masitaka yake juu ya watu wa

Mungu. Anakuwa na taarifa sahihi ya zambi alizokuwa wakiwajaribu nazo kutenda na

anatangaza ya kwamba kwa haki hawezi kuwasamehe zambi zao kwani kumwangamiza na

malaika zake. Anadai ya kwamba watolewe mikononi mwake kuangamizwa.

Bwana anamruhusu kuwajaribu iwezekanavyo. Tumaini lao kwa Mungu, imani yao,

itajaribiwa kwa ukali. Wanapo jikumbusha yalipopita, imani yao inazama, kwani kwa maisha

yao yote wanaweza uzuri ndogo. Shetani anajaribu kuwatisha kwa mafikara kuwa kezi zao

hakuna matumaini. Anatumaini pia kuharibu imani yao ili wajitoe kwa majaribu na kugeuza

utii wao kutoka kwa Mungu.

Maumivu Makuu ambao Mungu Atalaumiwa

Kwani maumivu ambayo watu wa Mungu wanateseka nayo si hofu ya mateso. Wanaogopa

ya kwamba katika kosa fulani ndani yao wenyewe watashindwa kupata utimilifu wa ahadi ya

Mwokozi: “Mimi nitakulinda, utoke katika saa ya kujaribiwa iliyo tayari kufikia dunia yote”.

Ufunuo 3:10. Je, wangeonekana kuthibitishwa kuwa wasiostahili kwa sababu ya makosa yao

wenyewe ya tabia, ndipo jina takatifu la Mungu lingelaumiwa.

Wanaonyesha kwa toba yao ya wakati uliopita wa zambi zao nyingi na kuomba ahadi ya

mwokozi: “Ao ashike nguvu zangu, afanye salama nami; Ndiyo afanye salama nami”. Ysaya

27:5. Ijapo kuteseka kwa mashaka na msiba, hawaachi maombezi yao. Wanaweka mshiko wa

Mungu kama Yakobo alivyoweka mshiko wa Malaika; na msemo wa roho zao ni “Sitakuacha

kwenda, kama haunibariki.”

Zambi Zilifutiliwa Mbali

Katika wakati wa taabu, kama watu wa Mungu walikuwa na zambi zisizoungamwa

kuonekana mbele yao wanapoteseka na hofu na maumivu makali, wangezamishwa. Kukata

tamaa kungaliondoa imani yao, na hawangeweza kumuomba Mungu kwa ajili ya wokovu.

Lakini hawakuficha maovu kwa kuyafunua. Zambi zao zimetangulia kwa hukumu na

zimefutiliwa mbali, na hawataweza kuzikumbuka.

Bwana anaonyesha katika matendo yake pamoja na yale ya Yakobo ya kwamba kwa ginsi

yo yote hawezi kuvumilia uovu. Wote wanaoachilia ao kuficha zambi zao na kuziruhusu

kudumu katika vitabu vya mbinguni bila kuziungama na bila kusamehewa watashindwa na

Shetani. Zaidi wanapoheshimu nia wanapoishikilia, ni uhakikisho wa ushindi adui waoa.

Wale wanaochelewesha matayarisho hawataweza kuyapata wakati wa hatari, wala wakati wo

wote unaofuata. Kesi za wote kama wale ni bila tumaini.

Historia ya Yakobo pia ni matumaini ya kwamba Mungu hatatupa wale ambao,

waliodanganywa katika zambi, na wamerudi kwake na toba ya kweli. Mungu atatuma malaika

kuwafariji wale wanaokuwa katika hatari. Jicho la Bwana ni juu ya watu wake. Ndimi za moto

253

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!