12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Ilikuwa jambo la maana sana kwamba watu waamshwe kwa kujitayarisha kwa ajili ya

mambo makubwa yanayo husiana na kufungwa kwa rehema. ‘’Siku ya Bwana ni kubwa na

ya kuogopesha, nani anayeweza kuivumilia?” Nani atakayesimama wakati atakapoonekana

yeye anayekuwa na “macho safi zaidi hata asiweze kutazama mabaya,” na hawezi “kutazama

ukaidi”? “Nami nitaazibu ulimwengu kwa sababu ya ubaya wake, na wenye zambi kwa

sababu ya uovu wao, nami nitakomesha kiburi cha wenye majivuno; nami nitaangusha chini

majivuno ya wenye ukali.” “Wala feza zao wala zahabu zao hazitaweza kuwaponyesha;” “Na

utajiri wao utakuwa mateka, na nyumba zao ukiwa.” Yoeli 2:11; Habakuki 1:13; Isaya 13:11;

Zefania 1:18, 13.

Mwito kwa Kuamka

Kwa maoni ya siku ile kubwa Neno la Mungu linaita watu wake kutafuta uso wake katika

toba: “Siku ya Bwana inakuja, kwani imekaribia.” “Takaseni kufunga chakula, iteni

kusanyiko la dini; kusanyeni watu, takaseni makutano, kusanyeni wazee, kusanyeni watoto:

... Makuhani, watumishi wa Bwana, lia katikati ya baraza na mazabahu.” “Geukeni kwangu

na moyo wenu wote, na pamoja na kufunga chakula, na kutoa machozi na kuomboleza; na

pasueni moyo wenu, wala si mavazi yenu, geukeni kwa Bwana, Mungu wenu; kwa kuwa ni

mwenye neema na, anayejaa huruma, si mwepesi kwa kukasirika, na mwenye rehema nyingi.”

Yoeli 2:1, 15-17, 12,13.

Kwa kutayarisha watu kusimama kwa siku ya Mungu, kazi kubwa ya matengenezo

ilipashwa kutimilika. Katika huruma zake alikuwa karibu kutuma mjumbe kwa kuamsha

waliojidai kuwa watu wake na kuwaongoza kujitayarisha kwa kuja kwa Bwana.

Onyo hili linaonyeshwa katika Ufunuo 14. Hapa kunakuwa na namna tatu ya ujumbe

unaoonyeshwa kama unatangazwa na viumbe vya mbinguni na mara moja ukafuatwa na kuja

kwa Mwana wa mtu kwa kuvuna “mavuno ya dunia.” Nabii aliona malaika akiruka “katikati

ya mbingu, mwenye Habari Njema ya milele, awahubiri wale wanaokaa juu ya dunia, na kila

taifa na kabila na lugha na jamaa, akasema kwa sauti kubwa: Ogopeni Mungu, na kumutukuza

kwa maana saa ya hukumu yake imekuja. Mukamwabudu yeye aliyezifanya mbingu na dunia

na bahari na chemchemi za maji.” Ufunuo 14:6. 7.

Ujumbe huu ni sehemu ya “Habari Njema ya milele.” Kazi ya kuhubiri ilipewa wala

kuaminishwa kwa watu. Malaika watakatifu huongoza, lakini tangazo la sasa la habari njema

linafanywa na watumishi wa Kristo duniani. Watu waaminifu, watiifu kwa maongozi ya Roho

wa Mungu na mafundisho ya Neno lake, walipashwa kutangaza onyo hili. Walikuwa

wakitafuta maarifa ya Mungu, kuihesabu “vema kuliko biashara ya feza, na faida yake ni

nyororo kuliko zahabu safi.” “Siri ya Bwana ni pamoja nao wanaomwogopa; Naye

atawaonyesha agano lake.” Mezali 3:14; Zaburi 25:14.

Ujumbe Uliotolewa na Watu Wanyenyekevu

123

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!