12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Imani ya namna moja ilipatikana kwa mjumbe mwengine katika Tartares. Padri mmoja

wa Tartares akauiiza wakati gani Kristo angekuja mara ya pili. Wakati mjumbe (missionaire)

alijibu, kwamba hakujua kitu kwa jambo lile, padri akashangaa kwa ujinga wa namna ile kwa

mwalimu wa Biblia, na akaeleza habari ya imani yake mwenyewe, yeye msingi kwa unabii,

kwamba Kristo angekuja karibu mwaka 1844.

Ujumbe wa Waadventisti katika Uingereza

Mwanzoni wa mwaka 1826 ujumbe wa kuja kwa kristo ukaanza kuhubiriwa katika

Uingereza. Kwa kawaida, tarehe kamili ya kurudi kwa Yesu haikufundishwa, lakini ukweli

wa kuja kwa Kristo mwenye uwezo na utukufu ukatangazwa kwa watu wengi. Mwandishi

mmoja wa Kingereza akasema kwamba karibu wahuduma 700 wa kanisa la Uingereza

walijitoa katika kuhubiri “habari njema hii ya ufalme.”

Ujumbe ulioonyesha mwaka 1844 kuwa wakati wa kuja kwa Bwana ukatolewa vilevile

katika Uingereza. Maandiko juu ya habari ya kurudi yakatangazwa sana kutoka America.

Katika mwaka 1842 Robert Winter, Mwingereza aliyeamini kurudi kwa Yesu alipokuwa

America, akarudi katika inchi yake na kutangaza habari ya kuja kwa Bwana. Watu wengi

wakajiunga naye katika kazi ndani ya sehemu mbalimbali za Ungereza.

Katika upande wa America ya kusini, Lacunza, “Jesuite” wa Espania, akakubali ukweli

wa kristo kurudi upesi. Kutaka kuepuka karipio la Roma, akatangaza habari yake chini ya jina

la kujitwalia la Rabbi-Ben-Ezra, akajionyesha mwenyewe kama Muyahudi aliyegeuka.

Karibu ya mwaka 1825 kitabu chake kitatafsiriwa katika Kiingereza. Kilitumiwa kwa

kuongeza usikizi uliokwisha kuamshwa katika Uingereza.

Ufunuo Ukafunuliwa kwa Bengel

Katika Ujeremani ujumbe huu ulifundishwa na Bengel, mhubiri wa kiLuther na mwalimu

wa Biblia. Wakati alipokuwa akitayarisha mahubiri kutoka kwa Ufunuo 21, nuru ya kuja kwa

Kristo mara ya pili ikaangaza katika mafikara yake. Unabii wa Ufunuo ukafunuliwa kwa

ufahamu wake. Alipofunikwa kwa ukubwa na utukufu wa mambo yaliyoonyeshwa na nabii,

akalazimishwa kuacha fundisho hilo kwa mda. Katika mimbara fundisho hilo likamjia tena

kwa nguvu. Tangu wakati ule akajitoa mwenyewe kujifunza mambo ya unabii na kwa upesi

akafikia kwa imani kwamba kurudi kwa Kristo kulikuwa karibu. Tarehe ambayo aliyoiweka

kama wakati wa kurudi kwa mara ya pili kulikuwa katika miaka michache karibu ya wakati

ule ambao Miller alitangaza baadaye.

Maandiko ya Bengel yakaenezwa katika jimbo lake mwenyewe la Wurtemberg na kwa

sehemu zingine za Ujeremani. Ujumbe wa kurudi ukasikiwa katika Ujeremani, na kwa wakati

uleule ujumbe huo ukavuta uangalifu katika inchi zingine. Huko Geneve, Gaussen akahubiri

ujumbe wa kurudi kwa Yesu. Wakati alipoingia katika kazi ya kuhubiri akaelekea kwa

mafundisho ya mashaka. Katika ujana wake akapendezwa na mambo ya unabii. Baada ya

kusoma Ancient History ya Rollin, uangalifu wake ukawa kwa sura ya pili ya Danieli.

147

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!