12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

ya mbinguni na ukombozi wa mwanadamu yalifundishwa na Pahali patakatifu pa kidunia na

huduma zake.

Vyumba Viwili

Nafasi takatifu za mahali patakatifu mbinguni zinafananishwa na vyumba viwili katika

Pahali patakatifu duniani. Yohana alijaliwa na maono ya hekalu ya Mungu mbinguni.

Alitazama kule “taa saba za moto ziliwaka mbele ya kiti cha enzi.” Aliona malaika “mwenye

chungu cha zahabu ya uvumba; akapewa uvumba mwingi, ili autie pamoja na maombi ya

watakatifu wote juu ya mazabahu ya zahabu iliyo mbele ya kiti cha enzi.” Ufunuo 4:5; 8:3.

Hapa nabii akaona chumba cha kwanza cha Pahali patakatifu pa mbinguni; na aliona “taa saba

za moto” na “mazabahu ya zahabu”, iliyofananishwa kwa kinara cha zahabu na mazabahu ya

uvumba katika Pahali patakatifu pa dunia.

Tena ‘’hekalu la Mungu likafunguliwa”, na akatazama ndani ya pazia juu ya patakatifu pa

patakatifu. Na akaona “sanduku ya agano lake” la kufananishwa na sanduku lililojengwa na

Musa kwa kuweka ndani amri ya Mungu. Ufunuo 11:19.

Hivyo, wale wanaojifunza fundisho hili wakaone bila shaka kwamba hakika mbinguni

kunakuwa hema. Musa alijenga hema ya kidunia akifuata mfano alioonyeshwa. Paulo

anafundisha kuwa mfano ule ulikuwa hema ya kweli ambao unakuwa mbinguni. Na Yoane

anashuhudia kwamba aliiona mbinguni.

Ndani ya hekalu mbinguni, Pahali patakatifu pa patakatifu kunakuwa amri ya Mungu.

Sanduku inayowekwa amri inafunikwa na kiti cha rehema, ambapo mbele yake Yesu anatetea

mwenye zambi kwa ajili ya damu yake. Hapa ndipo kunafananishwa muungano wa haki na

rehema katika mpango wa wokovu, muungano ambao unashangaza mbingu yote mzima. Hii

ndiyo siri rehema ambamo malaika wanatamani kutazama vile Mungu anaweza kuwa

mwenye haki wakati anahesabia haki mwenye zambi anayetubu.

Kazi ya Kristo kama mutetezi wa binadamu, inafananishwa katika Zakaria: “Atajenga

hekalu la Bwana; na atachukua utukufu, na atakaa na kutawala juu ya kiti chake cha enzi;

naye atakuwa kuhani kwa enzi yake, na mshauri wa amani atakuwa katikati yao wawili”.

Zacharia 6:12,13.

“Atajenga hekalu la Bwana”. Kwa zabihu yake na upatanisho, kristo ni msingi na mjengaji

wa kanisa la Mungu, “jiwe kubwa la pembeni. Katika yeye jengo lote linaunganishwa vema

na kukaa hata liwe hekalu takatifu katika Bwana”. Waefeso 2:20,21. “Atachukua utukufu”.

Wimbo wa wale watakaonunuliwa utakuwa: “kwake yeye aliyetupenda na kutuosha zambi

zetu kwa damu yake,...kwa yeye utukufu na uwezo hata milele na milele”. Ufunuo 1:5,6.

Atakaa na kutawala juu ya kiti chake cha enzi; naye atakuwa kuhani juu ya kiti chake cha

ufalme”. Ufalme wa utukufu haujaingiliwa bado. Mpaka kazi yake kama mpatanishi

imalizike, ndipo Mungu atamtolea ufalme ambao “hautakuwa na mwisho” Luka 1:33. Kama

169

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!