12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kutukuza Mamlaka Ya Kibinadamu

Kupinga ya Kiprotestanti

Kristo alikuwa na maoni ya unabii kwa kazi ya kutukuza mamlaka ya kibinadamu

kutawala zamiri, ambalo lilikuwa jambo la laana la kitisha katika vizazi vyote. Maonyo yake

si kufuata viongozi vipofu waliowekwa kwa ukumbusho kama onyo la upole kwa vizazi

wakati vijavyo.

Kanisa la Roma linawekwa akiba ya haki ya kutafsiri Maandiko kwa mapadri. Ingawa

matangenezo ilitoa Maandiko kwa wote, lakini kanuni ya namna moja iliyoshikwa kwa Roma

inazuia wengi katika makanisa ya Kiprotestanti kutochunguza Biblia wao wenyewe.

Wanafundishwa kukubali mafundusho yake kama ilivyofasiriwa na kanisa. Maelfu

wanasubutu kutopata kitu, lakini ni wazi katika maandiko, ile inayokuwa kinyume kwa imani

yao.

Wengi wanakuwa tayari kutoa nafsi zao kwa mapadri. Wanapita mbali ya mafundusho ya

Mwokozi karibu bila kuonywa. Lakini je, wanakuwa wahudumu wasioweza kukosa? Namna

gani tunaweza kutumaini uongozi wao isipokuwa tunajua kutoka kwa Neno la Mungu ya

kama wanakuwa wachukuaji wa nuru? Ukosefu wa uhodari wa mafundisho unasukuma wengi

kufuata watu waliojifunza, na wanakuwa wenye kufungwa bila kuwa na matumaini katika

kosa. Wanaona ukweli kwa wakati huu katika Biblia na wanasikia uwezo wa Roho Mtakatifu

kufikia matangazo jake, huku wakiruhusu mapadri kuwarudisha kutoka kwa nuru. Shetani

anafunga wengi kuwafunga na kamba za hariri za upendo kwa wale wanaokuwa adui za

msalaba wa Kristo. Kifungo hiki kinaweza kuwa cha wazazi, cha jamii, cha ndoa ao ujamii

wa jamaa nyingi kuwa pamoja. Nafsi chini ya mvuto wao hauna uhodari wa kutii nia zawajibu

wao.

Wengi hudai ya kama si kitu cho chote mtu anachoamini, kama tu maisha yake yakiwa

kamili. Lakini maisha yanafanywa na imani. Kama ukweli unakuwa ndani unafikia kipimo

na tunauzarau, tunaukataa kwa kweli, kuchagua giza badala nuru.

Ujinga hauachiliwi kwa ajili ya kosa la zambi, kama pale kunakuwa na nafasi yo yote,

kwa kujua mapenzi ya Mungu. Mtu mmoja anayesafiri anafika mahali ambapo panakuwa njia

nyingi na mti wenye mkono wa kuonyesha njia mahali gani kila moja inaongoza. Kama

akizarau alama na kukamata njia yo yote inayoonekana kuwa ya haki, angeweza kuwa yakini,

lakini katika kubahatisha kule kote atapatikana mwenyewe kwa njia mbaya.

Shuguli ya Kwanza na ya Juu Sana

Haitoshi kuwa na makusudi mema, kufanya kitu mtu anachofikiri kuwa cha haki ao kite

muhuduma anachowaambia kuwa cha haki. Anapashwa kuchunguza maandiko kwa ajili yake

mwenyewe. Anakuwa na amani inayoonyesha kila alama ya njia ya safari ya kwenda

mbinguni, na hapashwe kuamini kitu cho chote.

243

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!