12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

mufano kuzihamisha kutoka kwake mwenyewe hata kwa kafara isiyokuwa na kosa. Nyama

basi alichinjwa. “Kwa kuwa uhai wa mwili ni katika damu.” Walawi 17:11. Sheria ya Mungu

iliyovunjwa ilidai uhai wa mkosaji. Damu, inayokuwa mufano wa uhai wa mwenye zambi

ambaye kosa lake huchukuliwa kwa kafara (mnyama), ilibebwa na kuhani katika Pahali

patakatifu na kunyunyizwa mbele ya pazia, nyuma ambapo palikuwa na sheria ambayo

mwenye zambi aliyovunja. Kwa ibada hii zambi ikahamishwa katika mfano hata Pahali

patakatifu. Mara zingine damu haikupelekwa katika Pahali patakatifu, lakini nyama ikaliwa

na makuhani. Ibada mbili hizo zilikuwa mufano wa uhamisho wa zambi kutoka kwa mwenye

kutubu hata kwa Pahali patakatifu.

Kwa namna hiyo kazi iliendelea kufanyika muda wa mwaka wote mzima. Zambi za Israeli

zilikuwa zikihamishwa kwa Pahali patakatifu, na kazi ya kipekee ikawa ya lazima kwa ajili

ya ondoleo lao la zambi.

Siku Kuu ya Upatanisho

Mara moja kwa mwaka, kwa Siku Kuu ya upatanisho, kuhani akaingia katika Pahali

patakatifu pa patakatifu kwa ajili ya kutakaswa kwa Pahali patakatifu. Wana wawili wa mbuzi

wakaletwa na kura ikapigwa, “kura moja ni ya Bwana na kura ingine ya Azazeli.” Walawi

16:8. Mbuzi wa Bwana akachinjwa kama sadaka ya zambi kwa ajili ya watu, na kuhani

alipashwa kuleta damu ndani ya pazia na kuinyunyiza mbele ya kiti cha rehema na pia juu ya

mazabahu ya uvumba mbele ya pazia.

“Na Haruni ataweka mikono yake miwili juu ya kichwa cha yule mbuzi aliye hai, na kukiri

juu yake maovu yote ya wana wa Israeli na makosa yao yote, hata zambi zao zote; naye

ataziweka zote juu ya kichwa cha yule mbuzi aliye hai na kumutuma jangwani kwa mukono

wa mutu aliye tayari, na yule mbuzi atachukua juu yake maovu yao yote mupaka inchi isiyo

na watu; ataacha mbuzi kwenda zake jangwani.” Walawi 16:21,22. Mbuzi wa Azazeli

hakurudi tena katika kambi la Israeli.

Ibada ilikusudiwa kwa kuvuta Waisraeli kwa utakatifu wa Mungu na machukio yake ya

zambi. Kila mutu aliombwa kuhuzunisha roho yake wakati kazi hii ya upatanisho ilipokuwa

ikiendelea. Kazi zote zikawekwa kando, na Israeli alipashwa kutumia siku yenyewe katika

maombi, kufunga, na kuchunguza moyo.

Kiti kingine kilikubaliwa baadala ya mwenye zambi, lakini zambi hazikufutwa kwa damu

ya kafara (mnyama); zilihamishwa kwa Pahali patakatifu. Kwa sadaka ya damu mwenye

zambi akatambua mamlaka ya sheria, akatubu kosa lake, na akaonyesha imani yake katika

Mukombozi atakaye kuja; lakini hakufunguliwa kabisa kwa hukumu ya sheria. Kwa Siku ya

Upatanisho kuhani mkuu, anapokwisha kupata sadaka kwa makutano, akaenda ndani ya

Pahali patakatifu pa patakatifu. Akanyunyiza damu ya sadaka juu ya kiti cha rehema, mara

moja juu ya sheria, kufanya malipizi kwa madai yake. Halafu, kama mwombezi, akachukua

zambi juu yake mwenyewe na kuzibeba kutoka kwa Pahali patakatifu. Kuweka mukono wake

171

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!