12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sasa malaika wa mauti anaenda mbele, anaonyeshwa katika ndoto ya Ezekieli kwa watu

wanaokuwa na silaha za kuchinja, kwao agizo limetolewa: “Ueni kabisa mzee na kijana, na

wote wawili wasichana, na watoto wadogo, na wanawake, lakini musikaribie mtu aliye na

alama ile juu yake; na anzieni kwa pahali pangu patakatifu”, ‘’halafu wakaanza kwa wazee

walio mbele ya nyumba, “wale waliojidai kuwa walinzi wa kiroho wa watu. Ezekieli 9:6.

Walinzi wa uwongo wanakuwa wa kwanza kuanguka. “Kwa maana tazama, Bwana

anakuja kutoka pahali pake kuazibu wenye kukaa duniani kwa sababu ya uovu wao; na dunia

itafunua damu yake, na haitafunika tena watu wake waliouawa”. “Na itakuwa siku ile

makelele makubwa toka kwa Bwana yatakuwa katikati yao; nao watakamata kila mtu mkono

wa jirani yake, na mkono wake utanyanyuliwa juu ya mkono wa jirani yake” Isaya 26:21;

Zekarai 14:13.

Katika vita yenye wazimu ya tamaa kali zao wenyewe na kwa kumiminika kwa gazabu ya

Mungu isiyo changanywa, wakuhani waovu wanaanguka, watawala, na watu. “Na waliouawa

wa Bwana siku ile watakuwa toka mwisho wa dunia hata mwisho wa dunia”. Yeremia 25:33.

Kwa kuja kwa Kristo waovu wataangamizwa kwa mwangaza wa utukufu wake. Kristo

atachukua watu wake kwa mji wa Mungu, na dunia itafanyiwa utupu kwa wakaaji wake.

“Tazama Bwana anafanya dunia kuwa utupu, na anaiharibu, na anaipindua, na kuwasambaza

popote wakaaji wake... Inchi itafanywa kuwa utupu kabisa, na kuharibiwa kabisa; kwa maana

Bwana amesema neno hili... kwa sababu wamevunja sheria, wamegeuza amri, wamevunja

agano la milele. Kwa sababu hii laana imekula dunia, na watu wanaokaa ndani yake

wanaonekana kuwa na laumu: kwa hivi wakaaji wa dunia wamechomwa”. Isaya 24:1,3,5,6.

Dunia inaonekana kama jangwa lenye ukiwa. Miji imeharibiwa na tetemeko, miti

kungolewa, miamba iliyopasuka duniani imetawanyika juu ya uso wa dunia. Mapango

makubwa yanaonyesha alama mahali milima ilipasuka kutoka kwa misingi yao.

Uhamisho wa Shetani

Sasa matukio yamefanyika yaliyoonyesha mbele heshima ya kazi ya mwisho kwa Siku ya

upatanisho. Wakati zambi za Israeli zilipoondolewa kutoka Pahali patakatifu kwa uwezo wa

damu ya sadaka ya zambi, mbuzi wa Azazeli alionyeshwa hai mbele ya Bwana. Kuhani mkuu

akaungama juu yake “maovu yote ya wana wa Israeli,... kuyaweka juu ya kichwa cha mbuzi”.

Walawi 16:21. Vilevile, wakati kazi ya upatanisho katika Pahali patakatifu pa mbinguni

itakapotimia, ndipo, mbele ya Mungu na malaika wa mbinguni na jeshi la waliookolewa,

zambi za watu wa Mungu zitawekwa juu ya Shetani; atatangazwa kuwa na kosa ya uovu wote

aliolazimisha wao kuufanya. Kama vile mbuzi wa Azazeli aliochukuliwa katika inchi

isiyokaliwa na watu, vivyo hivyo Shetani atahamishwa kwa dunia yenye ukiwa.

Baada ya kuonyesha mambo ya ajabu ya kuja kwa Bwana, mfunuaji anaendelea: “kisha

nikaona malaika akishuka toka mbingu, mwenye ufunguo wa shimo lisilo na mwisho, na

munyororo mkubwa katika mkono wake. Akamshika yule joka mkubwa, yule nyoka ya

268

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!