12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 20. Upendo kwa Ajili ya Kuja kwa Kristo

6 Uamsho mkubwa wa dini umetabiriwa katika ujumbe wa malaika wa kwanza wa Ufunuo

14. Malaika moja ameonekana akiruka “katikati ya mbingu, mwenye Habari Njema ya milele,

ahubiri kwao wanaokaa juu ya dunia, na kila taifa na kabila na lugha na jamaa.” “Kwa sauti

kubwa” akatangaza: “Ogopeni Mungu, na kumutukuza kwa maana saa ya hukumu yake

imekuja. Mukamwabudu yeye aliyefanya mbingu na dunia na bahari na chemchemi za maji.”

Ufunuo 14:6,7.

Malaika ni mfano wa tabia bora ya kazi inayopaswa kutimizwa kwa ujumbe na uwezo na

utukufu, ambavyo vinapaswa kuishugulikia. Kuruka kwa malaika “katikati ya Mbingu,”

“sauti kubwa,” na matangazo yake “kwa kila taifa na kabila na lugha na jamaa” inatoa

ushuhuda wa kuenea kwa upesi, katika dunia nzima kwa tendo. Kwa habari ya wakati ambao

inapaswa kufanyika, inatangaza kufunguliwa kwa hukumu.

Ujumbe huu ni sehemu ya habari njema (injili) ambayo ingeweza kutangazwa tu katika

siku za mwisho, ambapo tu ndipo inaweza kuwa hatika kwamba saa ya hukumu yake imekuja.

Sehemu ile ya unabii wake ambao inaelekea kwa siku za mwisho, Danieli aliagizwa kufunga

na kutia muhuri “hata wakati wa mwisho.” Danieli 12:4. Mpaka wakati huu ndipo ujumbe juu

ya hukumu utangazwe, wenye msingi na kutimilika kwa unabii.

Paulo alionya kanisa lisitazamie kuja kwa Kristo katika siku zake. Mpaka baada ya uasi

mkubwa na utawala mrefu wa “mtu wa zambi” tunaweza kutazamia kuja kwa Bwana wetu.

Tazama 2 Watesalonika 2:3. “Mtu wa zambi” vilevile “siri ya uasi,” “mwana wa uharibifu,”

na “yule mwenye uovu,” ni mfano wa cheo cha Papa, ambacho kilikuwa kwa kushikilia

mamlaka yake kwa miaka 1260. Mda huu ulimalizika kwa mwaka 1798. Kuja kwa Kristo

hakungefanyika mbele ya wakati ule. Paulo anaeneza onyo lake kwa ile inayohusu Wakristo

wote hata kwa mwaka 1798. Kwa upande huu wa wakati ule, ujumbe wa Kuja kwa Kristo

mara ya pili ukatangazwa. Sivyo ujumbe wa namna ile haujatolewa kamwe kwa vizazi

vilivyopita. Paulo, kama tulivyoona, hakuuhubiri; aliuweka mbali kwa wakati ujao ujumbe

wa kuja kwa Bwana. Watengenezaji hawakuutangaza. Martin Luther aliweka siku ya hukumu

karibu ya miaka 300 zijazo kutoka kwa siku zake. Lakini tangu 1798 kitabu cha Danieli

kilifunuliwa, na wengi wakatangaza ujumbe wa hukumu kuwa karibu.

Katika Inchi Mbalimbali kwa Wakati Moja

Kama Matengenezo ya karne ya kumi na sita, Mwendo (kazi), la Kuja kwa Yesu

likaonekana katika inchi mbalimbali kwa wakati moja. Watu wa imani wakaongozwa

kujifunza mambo ya unabii na wakaona ushuhuda wa kusadikisha kwamba mwisho ulikuwa

karibu. Makundi mbali mbali ya Wakristo, kwa kujifunza Maandiko tu, wakafikia kwa

kuamini kwamba kuja kwa Mwokozi kulikuwa karibu.

144

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!