12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Kwa wakati moja wakati malaika walipokuja kujionyesha wao wenyewe mbele ya Bwana,

Shetani akakuja vilevile miongoni mwao, si kwa ajili ya kuinama mbele ya Mfalme wa

Milele, lakini kuharakisha makusudi yake maovu ya kushindana na wenye haki. Utazame

Yobu 1:6. Yeye anahuzuria wakati watu wanapoabudu, kutumika kwa juhudi kutawala

mawazo ya wanaoabudu. Kwa namna anavyoona mjumbe wa Mungu kutafuta Maandiko,

anaandika yote juu ya fundisho litakalofundishwa. Ndipo anatumia werevu wake na akili ili

habari isiweze kufikia wale ambao anawadanganya kwa jambo halisi lile. Yule anayehitaji

onyo zaidi atashurutishwa katika kazi ya jambo fulani ao kwa njia ingine atapata kizuizi kwa

kusikia neno.

Shetani anaona watumishi wa Mungu wakilemewa kwa sababu ya giza inayofunika watu.

Anasikia maombi yao kwa ajili ya neema ya Mungu na uwezo kwa kuvunja mvuto wa ubaridi

na uvivu. Halafu kwa nguvu mpya anajaribu watu kwa anasa ya tamaa ao kujifurahisha, na

kwa hivyo anaua akili zao ili washindwe kusikia mambo kabisa wanayohitaji zaidi kujifunza.

Shetani anajua kwamba wote wanaozarau maombi na Maandiko watashindwa kwa

mashambulio yake. Kwa hiyo anavumbua kila kitu cha kuvuta moyo. Wasaidizi wake wa

mkono wa kuume wanakuwa na juhudi siku zote wakati Mungu anakuwa kwa kazi.

Wataonyesha watumishi wa kweli wa Kristo wenye kujikana kama wanaodanganywa ao

wanaodanganya. Ni kazi yao kusingizia makusudi ya kila tendo bora, kueneza mambo ya

kuchongea, na kuamsha mashaka katika mioyo ya wajinga. Lakini inaweza kuonekana upesi

wanakuwa watoto wa nani, ambao mfano ni wa nani wanaoufuata, na wanafanya kazi ya nani.

“Mutawatambua kwa njia ya matunda yao.” Matayo 7:16; utazame vilevile Ufunuo 12:10.

Kweli Inatakasa

Mdanganyi mkubwa anakuwa na wazushi wengi waliofanywa tayari kupendeza onjo

mbalimbali ya wale ambao angeharibu. Ni mpango wake kuleta ndani ya kanisa watu

wasiofaa, wasiogeuza wale watakaoshawishi mashaka na kutoamini. Wengi wasiokuwa na

imani kamili katika Mungu wanakubali kanuni zingine za kweli na wanajifanya kuwa

Wakristo, na kwa hivi wanawezeshwa kuingiza kosa kama mafundisho ya maandiko. Shetani

anajua kwamba kweli, iliyokubaliwa katika upendo, inatakasa nafsi. Kwa hiyo anatafuta

kubadilisha maelezo ya uwongo, mifano, injili ingine. Tangu mwanzo, watumishi wa Mungu

wamebishana juu ya waalimu wa uwongo, si kama watu wabaya tu, bali kama wenye

kufundisha uwongo wa kufisha kwa nafsi. Elia, Yeremia, Paulo, kwa nguvu walipinga wale

waliokuwa wakigeuza watu kutoka kwa Neno la Mungu. Ule uhuru ambao unaangaliarau

imani kamili hafifu haikupata nafasi kwa hawa watetezi watakatifu wa kweli.

Maelezo yasiyofahamika vizuri na ya kujiwazia tu juu ya Maandiko na maelezo yenye

kupingana katika ulimwengu wa Kristo yanakuwa ni kazi ya adui wetu mkubwa kwa kuchafua

akili. Ugomvi na fitina miongoni mwa makanisa vinatokana mara nyingi na kupinganisha

Maandiko kwa kuunga mkono maelezo ya kupendeza.

212

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!