12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Luther Anaamuriwa Kufika Barazani

Kupinga ya Kiprotestanti

Baraza sasa likaomba kuonekana kwa Mtengenezaji. Mwishowe mfalme akakubali, na

Luther akaalikwa. Mwito ukafwatana na ruhusa ya kusafiri salama. Hati hizo mbili

zikapelekwa Wittenberg na mjumbe aliyeagizwa kumusindikiza Worms.

Kujua chuki na uadui juu yake, rafiki za Luther waliogopa kwamba cheti cha kusafiri

salama hakitaheshimiwa. Akajibu: “Kristo atanipa Roho yake kwa kushinda wahuduma hawa

wa uongo. Nina wazarau katika maisha yangu; nitawashinda kwa kifo changu. Huko Worms

wanashugulika sana kwa kunilazimisha; ni kane kukana kwangu kutakuwa huku: Nilisema

zamani kwamba Papa alikuwa kasisi wa Kristo; sasa na tangaza kwamba yeye ni mpinzani

wa Bwana, na mtume wa Shetani.”

Zaidi ya mjumbe wa mfalme, rafiki watatu wakakusudia kumsindikiza Luther. Moyo wa

Melanchton ukaambatana kwa moyo wa Luther, na akatamani sana kumfuata. Lakini maombi

yake yakakataliwa. Akasema Mtengenezaji: “Kama sitarudi, na adui zangu wakiniua, endelea

kufundisha, na kusimama imara katika ukweli. Utumike kwa nafasi yangu. ... Kama ukizidi

kuishi, mauti yangu itakuwa ya maana kidogo.” Mioyo ya watu ikagandamizwa na maono ya

huzuni. Waliambiwa kwamba maandiko ya Luther yalihukumiwa huko Worms. Mjumbe,

huogopa kwa ajili ya usalama wa Luther kwa baraza, akauliza kama alikuwa akiendelea

kutamani kwenda. Akajibu: “ijapokuwa nilikatazwa katika kila mji, nitaendelea.”

Huko Erfurt, Luther akapitia katika njia alizokuwa akipitia kila mara, akazuru kijumba

chake cha nyumba ya watawa, na akafikiri juu ya mapigano ambamo nuru iliojaa sasa katika

Ujeremani imetawanywa juu ya roho yake. Akalazimishwa kuhubiri. Jambo hili alikatazwa

kulifanya, lakini mjumbe akamtolea ruhusa, na mtu aliyefanywa zamani mtu wa kazi ngumu

za nyumba ya watawa, sasa akaingia kwa mimbara.

Watu wakasikiliza kwa kushangaa sana. Mkate wa uzima ulivunjwa kwa roho hizo zenye

njaa. Kristo aliinuliwa mbele yao na juu ya wapapa, maaskofu, wafalme (wakuu), na wafalme.

Luther hakusema juu ya maisha yake katika hatari yake. Katika Kristo alikuwa amejisahau

mwenyewe. Akajificha nyuma ya Mtu wa Kalvari, akitafuta tu kuonyesha Yesu kama

Mkombozi wa wenye zambi.

Uhodari wa Mfia Dini

Wakati Mtengenezaji alipoendelea mbele, makundi kwa hamu kubwa kwa kusongana

karibu naye na kwa sauti za upole wakamuonya juu ya Waroma. “Watakuchoma”, akasema

mwengine, “na kugeuza mwili wako kuwa majivu, kama walivyomfanya Jean Huss.” Luther

akajibu, “ijapo wangewasha moto njiani mote toka Worms hata Wittenberg, ... ningetembea

kati kati yake kwa jina la Bwana; ningeonekana mbele yao, ... kushuhudia Bwana Yesu

Kristo.”

58

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!