12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Kila swali la kweli na kosa katika mashindano ya siku nyingi limefanywa wazi sasa.

Matokeo ya kuweka pembeni sheria za Mungu yamewekwa wazi mbele ya macho ya viumbe

vyote. Historia ya zambi itasimama milele kwa wote kama ushuhuda ya kwamba pamoja na

kuwako kwa sheria ya Mungu kunafungwa furaha ya viumbe vyote alivyoviumba. Viumbe

vyote, vya uaminifu na vyenye uasi, kwa mapatano pamoja vinatangaza, “Haki na kweli njia

zako, wewe Mfalme wa watakatifu”.

Saa imefika wakati Kristo anapashwa kutukuzwa juu ya kila jina linalotajwa. Kwa ajili ya

furaha inayowekwa mbele yake--ya kwamba aliweza kuleta wana wengi katika utukufu--

akavumilia msalaba. Anaangalia kwa waliookolewa, waliofanywa upya kwa mfano wake

mwenyewe. Anatazama ndani yao matokeo ya kazi ya roho yake, na anatoshelewa. Isaya

53:11. Kwa sauti ambayo inawafikia makutano, wenye haki na waovu, anatangaza: “Tazama

biashara wa damu yangu! Kwa ajili ya hawa niliteseka, kwa ajili ya hawa nilikufa”.

Mwisho Mkali Sana wa Waovu

Tabia ya Shetani inaendelea bila kubadilika. Uasi kama maji mengi yenye kupita kwa

nguvu tena yamejipenyeza kwa nguvu. Anakusudia kutoacha vita yenye kukata tamaa ya

mwisho ya kupambana na Mfalme wa mbinguni. Lakini kwa mamilioni isiyohesabika yote

ambayo aliyoshawishi katika uasi, hakuna anayekubali sasa mamlaka yake. Waovu

wamejazwa na uchuki wa namna moja kwa Mungu unaoongozwa na Shetani, lakini wanaona

ya kwamba hoja lao halina matumaini. “Kwa sababu umeweka moyo wako kama moyo wa

Mungu, kwa hivi, tazama, nitaleta wageni juu yako, watu wa mataifa wenye kuogopesha, na

watachomoa panga zao juu ya uzuri wa hekima yako, nao watatia uchafu kungaa kwako.

Watakuleta chini kwa shimo. ... nitakuharibu, Ee kerubi la kufunika, kutoka katikati ya mawe

ya moto... nitakutupa hata inchi, nitakulaza mbele ya wafalme, wapate kukuona ... nitakufanya

kuwa majivu juu ya inchi mbele ya wote wanaokutazama ... utakuwa maogopesho, wala

hutakuwa tena hata milele”. Ezekieli 28:6-8, 16-19.

“Maana kasirani kali ya Bwana ni juu ya mataifa yote”. “Atanyeshea waovu mitego; Moto

na kiberiti na upepo wa kuchoma zitakuwa fungu la kikombe chao”. Isaya 34:2; Zaburi 11:6.

Moto utashuka kutoka kwa Mungu mbinguni. Dunia itaharibika. Miako ya moto unaoteketeza

inatoka kwa nguvu kutoka kwa kila shimo kubwa linalokuwa wazi. Miamba halisi inakuwa

motoni. Na viumbe vya asili vitayeyushwa kwa moto mkali, na inchi na kazi zilizo ndani yake

zitateketea. 2 Petro 3:10. Uso wa dunia utaonekana kama fungu moja kubwa lililoyeyuka--,

ziwa la moto lililochafuka. Maana ni “siku ya kisasi cha Bwana, mwaka wa malipo, kwa

ubishi wa Sayuni”. Isaya 34:8.

Waovu wanaazibiwa “kama ilivyo kazi yao”. Shetani atateswa si kwa ajili ya uasi wake

pekee, bali kwa ajili ya zambi zote alizozilazimisha watu wa Mungu kuzitenda. Katika ndimi

za moto waovu watakuwa kwa maangamizi ya mwisho, shina na matawi-Shetani ni shina

lenyewe na wafuasi wake ni matawi. Azabu kamili ya sheria ilijiliwa; matakwa ya haki

275

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!