12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Hakuna mmoja anayeteseka na hasira ya Mungu mpaka kweli inapokwisha kuletwa

nyumbani kwa moyo wake na zamiri na inapokataliwa. Wengi hawakupata kamwe bahati ya

kusikia mambo ya ukweli wa kipekee kwa wakati huu. Yeye anayesoma kila moyo hataacha

mmoja anayetamani kweli kudanganywa kama matokeo ya mashindano. Kila mmoja

anapashwa kuwa na nuru ya kutosha kufanya mpango wake kwa akili.

Jaribu Kubwa la Uaminifu

Sabato, jaribu kubwa la uaminifu, ni ukweli hasa unaopingwa. Huku kushika sabato ya

uwongo kutakuwa neno la kukiri la utii kwa mamlaka yanayo mpinga Mungu, kushika kwa

Sabato ya kweli ni ushahidi wa uaminifu kwa Muumba. Wakati kundi moja linapopokea

alama ya nyama, lingine hupokea muhuri wa Mungu.

Maonyo ya kwamba kukosa uvumulivu wa dini kungepata utawala, ya kama kanisa na

serkali wangetesa wale wanaoshika amri za Mungu, yangetangazwa pasipo sababu na kwa

upuzi. Lakini kwa namna kushika kwa siku ya kwanza (dimanche) kunatikiswa mahali pengi

sana, jambo lililokuwa halikusadikiwa kwa wakati mrefu linaonekana kuwa karibu, na

ujumbe utaleta tukio ambalo lisingaliweza kuwako mbele.

Katika kila kizazi Mungu ametuma watumishi wake kukemea zambi ulimwenguni na

katika kanisa. Watengenezaji (réformateurs) wengi, kwa kuingia kwa kazi yao, wakakusudia

kutumia busara nyingi katika kushambulia zambi za kanisa na za taifa. Wakatumainia, kwa

mfano wa maisha safi ya Kikristo, kuongoza watu kurudi kwa Biblia. Lakini Roho wa Mungu

akaja juu yao; pasipo hofu ya matokeo, hawakuweza kuzuia kuhubiri mafundisho zahiri ya

Biblia.

Kwa hivyo ujumbe utatangazwa. Bwana atatumika kwa njia ya vyombo vinyenyekevu

vinavyojitia wakuf wenyewe kwa kazi yake. Watumukaji watastahilishwa zaidi kwa kupakwa

mafuta ya roho Mtakatifu kuliko kwa mafundisho ya vyama vya vitabu. Watu watalazimishwa

kuendelea mbele na juhudi takatifu , kutangaza maneno ambayo Mungu anayotoa. Zambi za

Babeli zitafunuliwa. Watu watashitushwa. Maelfu hawajasikia kamwe maneno kama haya.

Babeli ni kanisa, lililoanguka kwa sababu ya zambi zake, kwa sababu ya kukataa kwake kwa

ukweli. Jinsi vile watu wanavyo kwenda kwa walimu wao na maswali “je, mambo haya ni

hivyo”? Wahubiri wanaonyesha mifano kwa kutuliza zamiri iliyoamshwa. Lakini kwa namna

wengi wanapouliza zahiri “Bwana anasema hivi”, kazi ya mapadri ya watu wengi itaamsha

makutano yanayopenda zambi kwa kutukana na kutesa wale wanao tangaza.

Mapadri watatumia juhudi zaidi za kupita uwezo wa kibinada-mu kwa kufungia mbali

nuru, kwa kuzuia mabishano ya maswali haya ya maana sana. Kanisa linaomba kwa mkono

hodari wa mamlaka ya serikali, na katika kazi hii, wafuasi wa kanisa la kiroma na

waprotestanti huungana. Kwa namna mwenendo wa mkazo wa siku ya kwanza (dimanche)

unapokuwa wa nguvu zaidi, washikaji wa amri watatishwa kwa kulipa feza na kifungo.

Wengine wanatolewa vyeo vya mvuto na wengine zawadi zingine kwa kukana imani yao.

247

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!