12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Wahuduma, ambao kama walinzi walipashwa kuwa wa kwanza kutambua dalili za kuja

kwa Yesu, walishindwa kujifunza ukweli kutoka kwa manabii ao kwa ishara za wakati.

Upendo kwa Mungu na imani katika Neno lake vikapunguka, na mafundisho juu ya kurudi

kwa kristo ikaamsha tu kutokuamini kwao. Kama kwa zamani ushuhuda wa Neno la Mungu

ukakutana na swali: “Nani katika wakubwa ao Wafarisayo aliyemwamini?” Yoane 7:48.

Wengi walipinga majifunzo ya unabii, kufundisha kwamba vitabu vya unabii vilitiwa muhuri

na havikuwa vya kufahamika. Makundi, kwa kutumainia wachungaji wao, wakakataa

kusikiliza; na wengine, ingawa walisadikishwa na ukweli, hawakusubutu kukiri ili wasipate

“kutoshzwa katika sunagogi.” Yoane 9:22. Ujumbe Mungu alioutuma kwa kujaribu kanisa

ulionyesha namna gani watu walikuwa wengi waliotia mapendo yao kwa dunia hii kuliko kwa

Kristo.

Kukataa maonyo ya malaika wa kwanza kulisababisha na hali ya kutisha ya tabia ya

kupenda anasa ya kidunia, kuacha dini, na mauti ya kiroho ambayo yalikuwa katika makanisa

katika mwaka 1844.

Ujumbe wa Malaika wa Pili

Katika Ufunuo 14 malaika wa kwanza amefuatwa na wa pili, kutangaza, “Umeanguka,

umeanguka, Babeli mji ule mkubwa, kwani umefanya mataifa yote kunywa mvinyo ya gazabu

ya uasherati wake.” Ufunuo 14:8. Neno “Babeli” lilitoka kwa “Babel,” na maana yake ni

machafuko. Katika Maandiko inaonyesha namna mbalimbali ya dini ya uongo ao ukufuru wa

dini. Katika Ufunuo 17 Babeli inafananishwa kama mwanamke--mfano uliotumiwa katika

Biblia kama mfano wa kanisa, mwanamke mwema hufananishwa na kanisa safi; mwanamke

mwovu ni kama kanisa lililokufuru.

Katika Biblia ushirika kati ya Kristo na kanisa lake unafananishwa na ndoa. Bwana

anasema: “Na nitakuoa kuwa wangu kwa milele, ndiyo, nitakuoa kwa haki.” “Mimi ni mme

wenu.” Na Paulo anasema: “Niliwapatanisha ninyi kwa mme mmoja, ili niletee Kristo bikira

safi.” Hosea 2:19; Yeremia 3:14; 2 Wakorinto 11:2.

Uzinzi wa Kiroho

Kanisa, Kutokuwa na uaminifu kwa Kristo katika kuruhusu mambo ya kidunia kutawala

moyo ni kama kuvunja kwa kiapo ya ndoa. Zambi ya Israeli katika kumwacha Bwana

inaonyeshwa chini ya mfano huu. “Kama vile mke anavyoacha mme wake kwa udanganyifu,

ndivyo mulivyonitendea mimi kwa udanganyifu, Ee nyumba ya Israeli, anasema Bwana.”

“Mke wa kufanya uasherati! anayekaribisha wageni pahali pa mme wake!” Yeremia 3:20;

Ezekieli 16:32.

Asema mtume Yakobo: “Ninyi wazini, hamujui ya kwamba kuwa rafiki ya dunia ni kuwa

adui ya Mungu? Basi kila mtu anayetaka kuwa rafiki ya dunia anageuka kuwa adui ya

Mungu.” Yakobo 4:4.

154

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!