12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Kama amri hii ingekazwa “Matengenezo hayangeweza kuenezwa ... ao kuanzishwa kwa

misingi ya nguvu ... mahali ambapo ilikwisha kuwako.” Uhuru ungalikatazwa. Mazungumzo

hayangaliruhusiwa. Matumaini ya ulimwengu yangeonekana kukomeshwa.

Washiriki wa kundi la injili wakaangaliana kwa hofu: “Kitu gani kinachofaa kufanywa?”

“Je, wakuu wa Matengenezo wanapaswa kutii, na kukubali amri hiyo? ... Waongozi wa Luther

wakapewa uhuru wa ibada ya dini yao. Fazili ya namna moja ikatolewa kwa wale wote

waliokubali Matengenezo kabla ya kuwekwa kwa amri walikuwa wamekwisha kukubali

maoni ya matengenezo. Je, jambo hilo halinge wapendeza? ...

“Kwa furaha wakaangalia kanuniambapo matengenezo yaliwekwa kwa msingi

ulioazimiwa, na wakatenda kwa imani. Kanuni ile ilikuwa nini? Ilikuwa haki ya Warumi

kushurutisha zamiri na kukataza uhuru wa kuuliza swali. Lakini, hawakuwa wao wenyewe na

watu wao Waprotestanti kuwa na furaha ya uhuru wa dini? Ndiyo, kama fazili ya upekee

iliyofanywa katika mapatano, lakini si kama haki. ... Ukubali wa matengenezo yaliyotakiwa

kwamba ruhusa ya kuingia uhuru ya dini ilipashwa kuwa tu kwa mategenezo ya Saxony na

kwa pande zingine zote za misiki ya kikristo uhuru wa kuuliza swalina ushuhuda wa imani ya

matengenezo vilikua kuasi na vilipashwa kuuzuriwa kifungoni na kifo cha kuchomwa kwa

mti. Je, waliweza kuruhusu kutumia mahali maalum kwa uhuru wa dini? . . . Je,

Watengenezaji wangeweza kujitetea kwamba walikuwa bila kosa kwa damu ya wale mamia

na maelfu ambao katika kufuata kwa mapatano haya, wangetoa maisha yao katika inchi zote

za kanisa la Roma?”

“Hebu tukatae amri hii,” wakasema watawala. “Katika mambo ya zamiri uwingi wa watu

hawana uwezo.” Kulinda uhuru wa zamiri ni kazi ya taifa, na huu ndiyo mpaka wa mamlaka

yake katika mambo ya dini.

Wakatoliki wakakusudia kuvunja kile walichoita “ushupavu hodari (uhodari usio wa

kuachia mtu nafasi yoyote).” Wajumbe wa miji iliyokuwa na uhuru waliombwa kutangaza

kwamba wangekubali maneno ya mashauri yaliyo kusudiwa. Waliomba muda, lakini kwao

hawakukubaliwa. Karibu nusu ya watu walikuwa kwa upande wa Watengenezaji, wakijua

kwamba musimamo wao utawapeleka kwa hukumu ijayo na mateso. Mmoja akasema,

“Tunapashwa kukana neno la Mungu, ao kuchomwa.”

Ushindani Bora wa Waana wa Wafalme

Mfalme Ferdinand, mjumbe wa mfalme, akajaribu ufundi wa mvuto. “Akaomba waana

wa wafalme kukubali amri, kuwahakikishia kwamba mfalme angependezwa sana nao.”

Lakini watu hawa waaminifu wakajibu kwa upole: “Tutamtii mfalme kwa kila kitu

kitakacholeta amani na heshima ya Mungu.”

Mwishowe mfalme akatangaza kwamba “njia yao moja tu inayobaki ilikuwa ni kujiweka

nchini ya walio wengi.” Alipokwisha kusema basi, akaenda zake, bila kuwapa Watengenezaji

78

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!