12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

yametimizwa. Kazi ya Shetani ya uharibifu imekomeshwa milele. Sasa viumbe vya Mungu

vimekombolewa milele kwa majaribu yake.

Wakati dunia inapofunikwa kwa moto, wenye haki wanakaa kwa salama ndani ya Mji

Mutakatifu. Wakati Mungu anakuwa kwa waovu kama moto unaoteketeza, anakuwa ngao

kwa watu wake. Tazama Ufunuo 20:6; Zaburi 84:11.

“Nikaona mbingu mpya na dunia mpya; kwa maana mbingu za kwanza na dunia ya

kwanza zimekwisha kupita”. Ufunuo 21:1. Moto utakaoteketeza waovu utasafisha dunia. Kila

alama ya laana imeondolewa mbali. Hakuna jehanum inayowaka milele itakayoendelea mbele

ya waliokombolewa matokeo ya kutisha ya zambi.

Kumbusho ya Kusulubiwa

Ukumbusho moja peke unaodumu: Mkombozi wetu atachukua hata milele alama za

kusulubiwa kwake, alama pekee za kazi ya ukali ambazo zambi imetenda. Katika miaka ya

milele vidonda vya Kalvari vitaendelea kuonyesha sifa yake na vitatangaza uwezo wake.

Kristo alihakikishia wanafunzi wake ya kwamba alikwenda kuandalia makao kwa ajili yao

katika nyumba ya Baba yake. Lugha wala maneno ya binadamu hayatoshi kueleza zawadi ya

wenye haki. Itajulikana tu kwa wale wanaoitazama. Hakuna wazo lenye mpaka linaloweza

kufahamu utukufu wa Paradiso ya Mungu!

Katika Biblia uriti wa waliokombolewa unaitwa “inchi”. Waebrania 11:14-16. Huko

Mchungaji wa mbinguni ataongoza kundi lake kwa chemchemi za maji ya uzima. Huko

kunakuwa na vijito vyenye kutiririka, safi kama jiwe lingaalo, na pembeni yao miti yenye

kutikisika inayotupa vivuli vyao kwa njia zilizotayarishwa kwa ajili ya waliokombolewa wa

Bwana. Inchi kubwa tambarere zinainuka kuwa vilima vya uzuri, na milima ya Mungu

inapandisha vilele vyao virefu. Katika inchi tambarare hizo za amani, pembeni ya vijito hivyo

vya uzima, watu wa Mungu, waliokuwa wasafiri na wanaohangaika watapata makao.

“Nao watajenga nyumba, na kukaa ndani yake; na watapanda mizabibu, na watakula

matunda yake: hawatajenga na mtu mwingine kukaa ndani yake; hawatapanda, na mtu

mwingine kula matunda yake: ... Na wachaguliwa wangu watafurahia kazi ya mikono yao”.

“Jangwa na inchi kavu zitafurahi; na jangwa litashangilia na kutoa maua kama waridi”. “Na

imbwa mwitu atakaa pamoja na mwana-kondoo, na chui atalala chini pamoja na mwanambuzi;

na mtoto mudogo atawaongoza... Hawataumiza wala kuharibu wote katika mulima

wangu wote mtakatifu”. Isaya 65:21, 22; 35:1; 11:6,9.

Maumivu hayawezi kuwako mbinguni. Hakutakuwa na machozi tena, Hakutakuwa tena

mafuatano ya maziko. “Wala mauti haitakuwa tena; wala maombolezo, wala kilio: ... kwa

maana maneno ya kwanza yamekwisha kupita”. “Wala hapana mwenyeji atakayesema, mimi

ni mgonjwa; watu wanaokaa ndani yake watasamehewa uovu wao”. Ufunuo 21:4; Isaya

33:24.

276

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!