12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 11. Ushuhuda wa Waana wa Wafalme

Mojawapo ya shuhuda “maalum”uliotamkwa zaidi kwa ajili ya Matengenezo ulikuwa

Ushuhuda uliotolewa na watawala Wakristo wa Ujeremani huko kwa baraza la Spires mwaka

1529. Uhodari na msimamo wa watu wale wa Mungu vikaimarisha uhuru wa zamiri kwa

karne zilizofuata, na wakatoa kwa kanisa lililotengenezwa jina la Protestanti.

Maongozi ya Mungu yakazuia nguvu zilizopinga ukweli. Charles Quint akakusudia

kuangamiza Matengenezo, lakini mara kwa mara alipoinua mkono wake kwa kupinga

akalazimishwa kugeukia kando ya pigo. Tena na tena kwa wakati wa hatari majeshi ya Turki

valipotokea kwa mpaka, ao mfalme wa Ufransa ao Papa mwenyewe alifanya vita kwake. Kwa

hiyo miongoni ya vita na fujo ya mataifa, Matengenezo yakapata nafasi ya kujiimarisha na

kujipanua.

Lakini, wakati ukafika ambao wafalme wakatoliki wakafanya tendo la umoja juu ya

kupinga Watengenezaji. Mfalme akaitisha baraza kukutanika huko Spires munamo mwaka

1529 na kusudi la kuharibu upingaji wa imani ya dini. Kama mpango huo ukishindwa kwa

njia ya imani Charles alikuwa tayari kutumia upanga.

Wakatoliki huko Spires wakaonyesha uadui wao kwa wazi juu ya Watengenezaji.

Akasema Melanchton: “Tunakuwa maapizo na takataka ya ulimwengu; lakini Kristo

atatazama chini kwa watu wake maskini, na atawalinda.” Watu wa Spires wakawa na kiu cha

Neno la Mungu, na, ingawa kulikuwa makatazo, maelfu wakakutanika kwa huduma

iliyofanywa ndani ya kanisa ndogo la mchaguzi wa Saxony. Jambo hili likaharakisha shida.

Uvumilivu wa dini ukaimarishwa kwa uhalali, na vikao vya injili vikakusudia kupinga

uvunjaji wa haki zao. Luther hakuruhusiwa kuwa Spires lakini pahali pake pakatolewa kwa

wafuasi wake na watawala ambao Mungu aliinua kwa kutetea kazi yake. Frederic wa Saxony

akatengwa na kifo, lakini Duke Jean, muriti wake (aliyemfuata), akakaribisha kwa furaha

Matengenezo na akaonyesha uhodari mkubwa.

Mapadri wakadai kwamba taifa ambalo lilikubali Matengenezo liwe chini ya mamlaka ya

Warumi. Watengenezaji kwa upande mwengine, hawakuweza kukubali kwamba Roma

ilipashwa tena kuleta mataifa yale chini ya utawala wake yale yaliyopokea Neno la Mungu.

Mwishowe ikakusudiwa kwamba mahali ambapo Matengenezo haikuanzishwa bado,

Amri ya Worms ilipaswa kutumiwa kwa nguvu; na kwamba “Mahali ambapo watu

hawangeweza kuilazimisha bila hatari ya uasi, hawakupasa kuingiza matengenezo mapya, ...

hawakupashwa kupinga ibada ya misa, hawakupashwa kuruhusu mkatoliki wa Roma

kukubali dini ya Luther.” Shauri hili likakubaliwa katika baraza, kwa kutoshelewa ukubwa

kwa mapadri na maaskofu.

77

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!