12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

mkubwa, “inamupasa Kristo kuwa na mamlaka? Sababu gani yeye anaheshimiwa kupita

Lusifero?”

Manunguniko Miongoni mwa Malaika

Kuacha pahali pake mbele ya Mungu, Lusifero akaendelea kutawanya manunguniko

miongoni mwa malaika. Kwa maficho yasiyoelezeka,kwa kuficha kusudi lake la kweli chini

ya mfano wa heshima kwa Mungu, akajikaza kuamsha kutorizika juu ya sheria ambazo

zilitawala viumbe vya mbinguni, kutangaza kwamba walilazimisha amri isiyohitajika. Kwani

tabia zao zilikuwa takatifu, akashurtisha kwamba malaika walipashwa kutii amri za mapenzi

yao wenyewe. Mungu alimtendea bila haki kwa kuweka heshima kubwa juu ya Kristo. Akadai

kwamba hakukusudia kujiinua mwenyewe lakini alikuwa akitafuta kulinda uhuru wa wakaaji

wote wa mbinguni, ili waweze kufikia maisha ya juu.

Mungu akavumilia Lusifero muda mrefu. Hakuondolewa cheo kwa kazi yake ya juu ijapo

wakati alipoanza kuonyesha madai ya uwongo mbele ya malaika. Mara kwa mara akatolewa

rehema ikiwa anakubali kutubu na kutii. Juhudi za namna ile ambayo upendo tu usio na

mwisho ulifanya njia yakumpata asadiki ya kosa lake. Mwanzoni manunguniko haya

kujulikana kule mbinguni. Lusifero mwenyewe mara ya kwanza hakufahamu tabia ya kweli

ya mawazo yake. Kwa namna uchungu wake ulipohakikishwa kuwa bila sababu, Lusifero

akasadikishwa kwamba madai ya Mungu yalikuwa ya haki na kwamba ilimupasa

kuyaungama mbele ya wote wa mbinguni. Kama angalifanya hivi, angalijiokoa mwenyewe

na malaika wengi. Kama angalipenda kurudi kwa Mungu, kutoshelewa kujaza pahali

alipoagizwa, angalirudishwa katika kazi yake. Lakini kiburi kikamkataza kutii. Akashikilia

kwamba hakuwa na haja ya toba, na akajitoa kabisa katika vita kuu juu ya Muumba wake.

Nguvu zote za akili ya ufundi wake zikaelekeza kwa udanganyifu, kusudi malaika

wamuunge mkono. Shetani akaonyesha kwamba alihukumiwa kwa uwongo na kwamba

uhuru wake ukapunguzwa. Kwa masingizio ya maneno ya Kristo akapita kwa kusimamia

uwongo, kushitaki Mwana wa Mungu juu ya shauri la kumfezelesha mbele ya wakaaji wa

mbinguni.

Wote ambao hakuweza kuwapindua kwa upande wake akawashitaki kuwa wenye ubaridi

(kutojali) kwa faida ya viumbe vya mbinguni. Akakimbilia kwa maafundisho ya uwongo juu

ya Muumba. Ilikuwa ujanja wake kwa kuhangaisha malaika na maneno ya ujanja juu ya

makusudi ya Mungu. Kila kitu chepesi akakifunika katika fumbo, na kwa njia ya kupotosha

akatia mashaka juu ya maneno yaliyokuwa wazi kabisa kwa Mungu. Cheo chake cha juu

kikatoa nguvu kubwa kwa masingizio yake. Akashawishi wengi kuungana pamoja naye

katika uasi.

Uchuki Ukasitawishwa Katika Uasi wa Juhudi

Mungu katika hekima yake akaruhusu Shetani kuendelea na kazi yake, hata roho ya uchuki

ikasitawishwa katika uasi. Ilikuwa ni lazima kwa mashauri yake kuendelea kabisa, ili tabia

203

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!