12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

walioishi kwanza duniani, Mtetezi wetu anaonyesha kesi za kila kizazi kwa kufuatana. Kila

jina linatajwa, kila kesi inachunguzwa. Majina yanakubaliwa, majina yanakataliwa. Wakati

mtu ye yote anakuwa na zambi zinazodumu kwa vitabu vya ukumbusho, zisizoungamwa na

kusamehewa, majina yao yatafutwa katika kitabu cha uzima. Bwana akamwambia Musa:

“Mutu aliyenikosea, ndiye nitakayemwondosha katika kitabu changu.” Kutoka 32:33.

Wote waliotubu kwa kweli na katika imani wakadai damu ya Kristo kama kafara yao ya

upatanishi walipata rehema wakaingia katika vitabu vya mbinguni. Kwa namna wanafanywa

washiriki wa haki wa Kristo na tabia zao zinaonekana kuwa katika umoja na sheria ya Mungu,

zambi zao zitafutwa mbali, na watahesabiwa wenyekustahili uzima wa milele. Bwana

anasema: “Mimi, ndiye anayefuta makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe; nami

sitakumbuka zambi zako.” “Yeye anayeshinda atavikwa nguo nyeupe, wala sitaondosha jina

lake katika kitabu cha uzima; nami nitakiri jina lake mbele ya Baba yangu, na mbele ya

malaika zake.’‘ “Basi kila mtu anayenikiri mbele ya watu, nitamukiri vilevile mbele ya Baba

yangu aliye mbinguni.” Isaya 43:25; Ufunuo 3:5; Matayo 10:32,33.

Mtetezi wa kimungu anaonyesha maombi yale yote ya walioshinda kwa njia ya imani

katika damu yake wapate kurudishwa kwa makao yao ya Edeni na kuvikwa taji kama kuwa

wariti pamoja naye mwenyewe kwa “mamlaka ya mwanzo.” Mika 4:8. Sasa Kristo anauliza

ya kuwa mpago wa kimungu katika kuumbwa kwa mtu upate kutimizwa kama kwamba mtu

hakuanguka kamwe. Anauliza kwa ajili ya watu wake si rehema tu na kuhesabiwa haki, bali

sehemu katika utukufu wake na kukaa kwa kiti chake cha enzi.

Wakati Yesu anapoombea watu neema yake, Shetani anawashitaki mbele ya Mungu.

Anaonyesha ukumbusho wa maisha, upungufu wa tabia, kuwa na tofauti kwa Kristo, kwa

zambi zote alizowajaribu nazo kufanya. Kwa sababu ya mambo haya anawadai kuwa watu

wake.

Yesu haruhusu zambi zao, lakini anaonyesha toba yao na imani. Anapoomba msamaha

kwa ajili yao, anainua mikono yake iliyojeruhiwa mbele ya Baba, kusema: Nimewachora kwa

viganja vya mikono yangu. “Zabihu za Mungu ni roho ya kuvunjika, moyo uliovunjika na

toba hutauzarau, Ee Mungu.” Zaburi 51:17.

Bwana Anahamakia Shetani

Na kwa mushitaki anasema: “Bwana akuhamakie, Ee Shetani. Ndiyo Bwana aliyechagua

Yerusalema, akuhamakie. Hiki si kinga kilichoondoshwa katika moto?” Zekaria 3:2. Kristo

atavika waaminifu wake kwa haki yake mwenyewe, ili aweze kuwaonyesha kwa Baba yake

“kanisa la utukufu, pasipo alama wala kikunjo wala kitu cho chote kama hivi.” Waefeso 5:27.

Ndivyo itakavyotimilika utimilizo kamili wa ahadi ya maagano mapya: “Maana

nitasamehe uovu wao, wala zambi yao sitakumbuka tena.” “Katika siku zile na wakati ule,

anasema Bwana, uovu wa Israeli utatafutikana, wala uovu hapana; na zambi za Yuda

zitafutikana, wala hazitaonekana.” “Na itakuwa, yeye aliyeachwa katika Sayuni, na yeye

198

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!